johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,062
- 164,375
Hasa haya makanisa ya kiroho.Utakuta mnaabudia humo semina na sherehe humohumo ukiwauliza wanasema hili ni jengo la Askofu/mchungaji.Wadau jambo hili ni sawa kwamba waumini wachangie ujenzi wa kanisa lakini umiliki uwe wa mchungaji?