Majengo marefu katikati ya jiji Dar es Salaam

Giddy Mangi

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
830
184
Makamanda wazima wote?napenda kupata maoni yenu juu ya haya Majengo yanayojengwa kila kukicha,Mfano Uhuru Height,Viva Tower baada ya M.35 kuna Movenpick,Nyumba ya Sanaa,Barclays Mambo ya Ndani,Wakimbizi Tower,Exim Tower,PPF Tower,Penshen Tower then next yapo mengine mawili Jamani kwa haya machache inamaana ni maendeleo na kama ndio basi Miundombinu inafikiriwa?
 
ah jaman wewe kaka minakuonea huruma ivo unavyowaza yasiwazika kwa tz yetu...

wacha tu yajenge

acha majengo yajengwe miundombinu itajiset yenyewe...

mambo mengne ukiwaza unaweza ukanunua bastola....potezea tu usije ukapata mvi siku si zako swet at
 
ah jaman wewe kaka minakuonea huruma ivo unavyowaza yasiwazika kwa tz yetu...wacha tu yajengeacha majengo yajengwe miundombinu itajiset yenyewe...mambo mengne ukiwaza unaweza ukanunua bastola....potezea tu usije ukapata mvi siku si zako swet at
swet at nimeipenda hyo..
 
Huo ni ufahari tu kuiga mambn ya wenzetu!wenzetu wanajenga magorofa coz hawana maeneo ya kujenga,sasa sijui kwa wa tz kama maeneo hayatoshelezi
 
Wee Mangi, mimi natafuta wapi ntapata chakula cha jioni , wewe unafikiria vitu virefu vya wakubwa?
 
mojawapo ya sababu za 2008 world economic crisis iliyoanzika huko amerika ni mfumuko wa mortgage au biashara ya nyumba na majengo, bei ya nyumba ilipanda kiasi kwamba kila investor akatamani ku-invest kwenye housing ili kupata faida kubwa, basi watu wakopa sana kwenye mabenki na sehemu nyingine za kifedha ili wafanyebiashara ya nyumba, kilechotokea supply ikawa kubwa nyumba zikashuka bei sana kiasi hata kama uliweka dhamana ya nyumba kupata mkopo hiyo nyumba haina thamani ya mkopo...miaka 5 iliyopita kulikuwa na demand kubwa ya ofisi za kisasa mjini basi hawa pension fund wakaanza kutumia fedha kujenga hayo majengo..hv sasa demand imeshuka majengo ni mengi mjini foleni imekuwa kubwa sana baadhi ya makumpuni yanahama kukimbia foleni mfano voda wamehama ppf tower kwenda mcity..sasa hao ma-investment planner wamekariri, ilitakiwa waanze kujenga residential house ambayo demand yake ni kubwa sana...bado wanajenga majengo marefu ambayo mengi yapo tupu mjini!
 
ImageUploadedByJamiiForums1405175375.744253.jpg kutokana na kukua kwa miji yetu kumeibua uchipuaji wa magholofa kama uyoga, na kuwa kielelezo kizuri cha mji husika, pichani ilo ni kati ya majengo sita ya kisasa sana katika mji wa arusha ,jengo hili limejengwa na kuwa kama alama ya mji wa arusha ingawa mnara wa azimio la arusha unaendelea kutumika kama alama wa mji huo, jengo hili likiwa na thamani ya mabilion kadhaa ni mali ya mfuko mmojawapo wa hifadhi ya jamii hapa tanzania
 
View attachment 170398 kutokana na kukua kwa miji yetu kumeibua uchipuaji wa magholofa kama uyoga, na kuwa kielelezo kizuri cha mji husika, pichani ilo ni kati ya majengo sita ya kisasa sana katika mji wa arusha ,jengo hili limejengwa na kuwa kama alama ya mji wa arusha ingawa mnara wa azimio la arusha unaendelea kutumika kama alama wa mji huo, jengo hili likiwa na thamani ya mabilion kadhaa ni mali ya mfuko mmojawapo wa hifadhi ya jamii hapa tanzania

What an ugly building. this is a ARCHITECTURAL NIGHTMARE. very poor design
 
Back
Top Bottom