Majeneza mengine bana...

RayB

JF-Expert Member
Nov 27, 2009
2,751
196
Full JF ndani na music ya kufa mtu

attachment.php
 

Attachments

  • 149880_140597269324083_100001214312304_222770_1689681_n.jpg
    149880_140597269324083_100001214312304_222770_1689681_n.jpg
    43.3 KB · Views: 415
Full JF ndani na music ya kufa mtu

attachment.php

Duuh, yaani unaendelea kuoza huku ukiendelea kuburudika na mziki na kupata updates za duniani kupitia interne. Bonge la invention th! th! th!
 
Hii kali wezi watakuwa wanashinda makaburini.....maana hilo jeneza ni dili tayari...
 
Nafikiri wamefunga kitu kama CCCTV camera kuona kama ngoma inaweza ikaamka!! vipi yanapatikana supermarket gani? vipi wanatoa promotion msimu huu wa sikukuu??? pls details
 
Upuuzi mtupu, mnapamba jeneza, wakati mtu huyo alipokuwa hai mlishindwa hata kumjengea nyumba nzuri. Si ajabu huyu alikuwa anakaa barabarani kuomba, halafu akifa mnajifanya kumjali. Dont you know kwamba maiti ni sawa na jiwe, au gogo? Kumzika kwa jeneza la almasi au dhahabu kunasaidia nini? Upuuzi mtupu.
 
mmmmmhhhhhh ubaya mziki utakuwa sauti kubwa sana na hautasikia kitu...
na kama hiyo pembeni ndo flat screen TV umechemsha kwa sababu macho hayata funguka,,,:rip::rip::rip:
 
hapo malaika anakuambia ingia mbinguni mwanangu we upo tu na mziki nz jf wala humsikii
 
Back
Top Bottom