Majenereta haya yatosha kumaliza tatizo la umeme | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majenereta haya yatosha kumaliza tatizo la umeme

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by fisi 2, Jul 26, 2011.

 1. f

  fisi 2 JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,336
  Likes Received: 521
  Trophy Points: 280
  Nina mgeni toka Italy , amekaa siku 3 akishuhudia mgawo wa Ngeleja. Jana amezunguka kitaa. Kaanzia Kariakoo, Kisutu, Mwananyamala na akarudi Hotelini kwake. Kwa survey hii amenipa finding hii- 'Kama fedha zilizo tumika na zinazoendelea kutumika kwenye majenereta haya yote mitaani kwa nchi nzima shida ya umeme ingekuwa ndoto'.
   
 2. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,054
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Mkuu! huyo ni mgeni wako au wa ofisi? We huna kwako mpaka anakaa hotelini? Misifa tu...!
   
 3. f

  fisi 2 JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,336
  Likes Received: 521
  Trophy Points: 280
  deal na hoja mkuu mengine niachie mwenyewe poor u!
   
Loading...