'Majembe' yaliyowekwa benchi na mheshimiwa

Smartbeing

JF-Expert Member
Apr 7, 2014
323
422
Mheshimiwa anayo mamlaka ya kuteua na kutengua uteuzi wakati wowote. Kwa mtazamo wangu kuna majembe ambayo labda yangetusaidia, na nikiyapanga kwa rank ya umuhimu ni kama ifuatavyo :

1. Dr Sylvester Likwelile - PS Fedha
2. Dr. Ally Simba - TCRA
3. Mr Benard Mchomvu - chairman TRA
4. Kanali Fabian Massawe - RC Kagera
5. Lawrence Mafuru - Hazina

Mzee hawa jamaa wakipangiwa kazi nyingine muhimu watatusaidia sana. Pia chonde chonde Prof. Ndullu ni jembe at your wish apewe nafasi, tena ikiwezekana muondolee hofu kuwa hataondoka ili awe huru zaidi.
 
Wewe huyajui majembe Lusinde anawao ng oza wote uliwataja, hawamfikii hata kwa dawa
 
Da ama kwel unenikunbusha watu mahm hawa....hakika kanal Fabian Massawe mchango wake kwa kagera n mkubwa sana
 
Mzee anataka kubadilisha majembe ili alime kivingine. We cannot do what we have always done and use the people we have always used and expect a different result.

Kuna huyo aliyekuwa kiongozi wa ngazi ya juu BoT wakati wa wizi kipindi cha ujenzi wa twin towers, wakati wa EPA, wakati watu wanabeba fedha kwa magunia toka benki mbili, wakati watoto wa vigogo wanapewa upendeleo wa ajira, n.k., na bado kuna watu wanasema ni jembe. Give me a break!
 
Masawe hamna kitu msaka tonge tu ndo maana mzee wa msoga nae alimpiga chini asubuhi tu. Alikuwa DC akapewa U-RC baada ya kusaidia kupokonya ubunge
 
Mheshimiwa anayo mamlaka ya kuteua na kutengua uteuzi wakati wowote. Kwa mtazamo wangu kuna majembe ambayo labda yangetusaidia, na nikiyapanga kwa rank ya umuhimu ni kama ifuatavyo :

1. Dr Sylvester Likwelile - PS Fedha
2. Dr. Ally Simba - TCRA
3. Mr Benard Mchomvu - chairman TRA
4. Kanali Fabian Massawe - RC Kagera
5. Lawrence Mafuru - Hazina

Mzee hawa jamaa wakipangiwa kazi nyingine muhimu watatusaidia sana. Pia chonde chonde Prof Ndullu ni jembe at your wish apewe nafasi , tena ikiwezekana muondolee hofu kuwa hataondoka ili awe huru zaidi
Karibia wote hapo wana vinasaba na kijani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom