Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majembe ya RTD enzi hizo mnayakumbuka? Nilikuwa sitoki Redioni...Yaani usipime.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by mzee wa njaa, Jul 19, 2011.

 1. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sara Dumba, Jacob Tesha, Seleman Hega, Danstan Tido Mhando, Seleman Kumchaya, Peter Makorongo, Charles Hillary, Omary Jongo, Ahmed Jongo, Sango Kipozi, Masoud Masoud, Aloisia Isabula,Aloisia Maneno, Debora Mwenda, Mikidadi Mahamoud, Juma Nkamia, Swedi Mwinyi, Ahmed Kipozi, Dominic Chilambo, Bati Kombwa, Nadhir Mayoka, Abdallah Majura, Michael Katembo,Abisae Steven, Abdallah Mlawa,Nassoro Nsekeli,Bujaga Izengo Kadago,David Wakati,Khalid Ponera,Christina Chokunogela,Ahmed Kipozi,Siwatu Luwanda,Salim Seif Nkamba,Salama Mfamao,Bartholomew `Bati’ Kombwa
  Ahmed Jongo,Dominic Chilambo,ngalieni Mpendu,Sekioni Kitojo,Chisunga Steven
  Edda Sanga,Mikidadi Mahmoud,Mshindo Mkeyenge....................Wengine ongezeeni
   
 2. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,107
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Kuanzia leo jiite "kijana wa njaa ". Unamchanganya Mshindo Mkeyenge na Juma Nkamia kwenye enzi hiyo hiyo huku unamsahau Danstan Tido Mhando?! Na kumbuka kuna masahihisho mengi tu zaidi ya hayo niliyoyataja. Ungekuwa jirani....
   
 3. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kaka Tido nimemtaja angalia line ya kwanza.
   
 4. Gwamahala

  Gwamahala JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 3,303
  Likes Received: 594
  Trophy Points: 280
  Mbona unawarudia-rudia au ni watu tofauti ila majina yanafanana!
   
 5. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,107
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Ume edit! Pamoja na hayo, kesi nyingine inayohusiana na kuchanganya enzi hujajibu
   
 6. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Okay n irekebishe i am not perfect ni mawazo yangu broda.
   
 7. Money Maker

  Money Maker Senior Member

  #7
  Jul 19, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuandikie na vipindi walivyoviongoza,mfano Debora Mwenda ~ mama na mwana[hadithi: adili na nduguze,bibi aga etc] nakumbuka zamani...
   
 8. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,618
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mimi nilikua napenda kile kipindi cha "MAMA NA MWANA" cha Jumapili na kile cha Asubuhi cha "JAMBOOO"... RTD was so funy and lovable!
   
 9. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kipindi cha Mkoa kwa mkoa: Michael Katembo. Club Raha leo show: Nadhir Mayoka,.......wengine watasaidia.
   
 10. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,842
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Angalieni Mpendu alikuwa ni fundi mitambo au mtangazaji?
   
 11. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #11
  Jul 19, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,245
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 180
  Na miss Dominic Chilambo wa kanda ya ziwa. Alikuwa akikutajia line up ya wana TP Lindanda Kirumba unajiskia kama umeshafungwa vile. Halafu kuna Uncle J Nyaisanga, simwoni kwenye list. Kile kipindi chake cha muziki usiku (Disco Show?). Anakuambia leo nimekuandalia vibao ywa kukutoa soksi na na viatu kubakia pale pale. Pia kuna akina Mohamed Kadilu na Bakari Msulwa (mrindimo). Na huyu mama ya Tamwa hujamweka. Pia alikuwepo mwamama mmoja alikuwa anatangaza kipindi cha Kodi na Mapato. Sijui kama hiki kipindi bado kipo.
   
 12. Untwa

  Untwa Member

  #12
  Jul 20, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ...Usihadaike na rangi, utamu wa chai ni sukari, nikiripoti kutoka Zanzibar, Mimi ni Yusuph Omari Chunda, Majira Radio Tanzania Dar es salaam
   
 13. k

  kimalando Senior Member

  #13
  Jul 20, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tufurahi jama tufurahi wiki endie.................................................. Baba naomba ruhusa niende wiki endi niende nikafurahi na wana milimanieee. Asante sana mwanangu kwa ombi lako siku kwa siku za wiki endi ni siku ya furaha mwanangu.

  Uwiii inanikumbusha mambali kweli.
   
 14. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #14
  Jul 20, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,107
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Hata mie si perfect, so tukubali yaishe
   
 15. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #15
  Jul 20, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,353
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  na kile kipindi kutoka hospitalini alikuwaanaongoza nani vile?
   
 16. M

  Mchaga wa ukwel Member

  #16
  Jul 20, 2011
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naona umemsahau EZEKIEL MALONGO. Alikuwa akitangaza mpira na J.NKAMIA MZEE WA MAGUU 12!! Yaan utataman mpira uchezwe siku nzima!
   
 17. j

  jasaiji Member

  #17
  Jul 20, 2011
  Joined: May 17, 2008
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Idrisa Sadallah kutoka nyanda za juu kusini
   
 18. j

  jasaiji Member

  #18
  Jul 20, 2011
  Joined: May 17, 2008
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kipindi cha wakati wa kazi, Misakato na Uncle J Nyaisanga, Nyimbo asilia na mkoa kwa mkoa na Michael Katembo, Mikidadi Mahmoud na Jongo na kipindi cha mikingamo, Nipe Habari na David Wakati.
   
 19. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #19
  Jul 20, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,017
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Nikiripoti kutoka Iringa , Chisunga Steven kanda ya kusini.
   
 20. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #20
  Jul 20, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,017
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  OH umemsahau Abdulrahman Baramia
   
Loading...