Majembe Hatari ya Rais Magufuli, yumo Makonda, Sabaya, Murro na Jokate

TATHMINI YA VIJANA WA UVCCM WALIOAMINIWA AWAMU YA TANO

PAUL MAKONDA

Huyu ni RC wa Dar ni zao la UVCCM. Amewahi kuwa Waziri mkuu wa serikali ya wanafunzi Chuo cha Muccobs,Akawa Mwenyekiti wa Tahliso nchini, Akawa Katibu wa hamasa UVCCM, Akawa mjumbe mbunge la katiba, kisha akateuliwa na Rais kikwete kuwa DC wa kinondoni na sasa ni Rc wa Jiji la Dar es salaam

Makonda amefanikiwa kuwa talk of the country kupita vijana wengi wanaohudumu katika awamu ya tano kwa masaibu mengi mema na mabaya. Ni kiongozi kijana anaeshambuliwa sana na pande zote mbili za chama chake na Upinzani kwa jinsi anavyoendesha uongozi wake.

Makonda ameonesha ubunifu sana kwenye kila jambo analoanzisha japokuwa mengi huishia njiani na kutoleta maana.

Amefanikiwa sana kuonesha Utundu wake wa kuhamisha mijadala nchini hili ni jambo la kumpongeza japokuwa imekuwa ikimletea vita sana kwa maadui zake.

Makonda amekuwa target ya maadui wa Rais Magufuli na hii humsaidia sana maana inamlinda hata pale anapokosea anapata msaada kirahisi.

MRISHO GAMBO

Huyu ni RC wa Jiji la Arusha. Amewahi kushika nyazifa za kawaida ndani ya Uvccm,Cheche zake zilianza kuonekana wakati wa harakati za uchaguzi wa 2010-2015. Amefanikiwa kuzizima harakati za upinzani ndani ya Jiji la Arusha,

Amefanikiwa kusimamia miradi ya Mkoa wa Arusha kwa kiasi Fulani ila haelewani na wasaidizi wake wengi hata waliondani ya chama chake kutokana na kuonesha dhahiri anawabeba watu wake waliokaribu nae kisiasa.

Pamoja na Gambo kufanikiwa kusimamia baadhi ya miradi,ila kila wakati siasa za kitabaka zinapotajwa Anahusishwa kuwa na kundi,kwa siasa za Arusha ameshindwa kukumbatia makundi yote Jambo ambalo Makonda amelifanya kwa ufanisi mkubwa.

Kwa sasa Gambo amepoa hana makali sana kutokana na siasa zake za matabaka

Gambo anaonekana mtu wa taratibu na mikakati, akifanikiwa kuwaunganisha watu wa Arusha na kuacha kupendelea kundi au upande bado anaendelea kuwa kijana sahihi.

JOKATE MWEGELO

Ni DC wa Kisarawe ,Amewahi kushika nyazifa za kawaida ndani ya Uvccm,Ni binti aliejipambanua na kujulikana kutokana na vipaji vyake tofauti tofauti,

Jokate amesimamia suala la elimu kwa ufanisi mkubwa sana na kwa kweli wengi hawakutegemea angefanya haya maajabu

Amefanikiwa kuonesha ubunifu wake tofauti kabisa katika kusimamia masuala ya kijamii katika wilaya anayohudumu,anapata sapoti sana ya marafiki aliowahi kufanya nao kazi katika tasnia mbalimbali hapo awali,Kajikita sana kujibrand kwa kutumia mitandao ya kijamii ambako ndiko anawafuasi wengi.

Amekuwa akikumbwa na shutuma za kuonekana anapendelewa kutokana na ulimbwende wake lakini haikuwai kudhibitika hivyo maana mambo anayofanya yanajiuza yenyewe

LENGAI OLE SABAYA

Huyu ni DC wa Hai Kilimanjaro, Amewahi kuwa Rais wa Chuo cha St John's Dodoma,Ni Diwani wa Sambasha Arumeru,Amewahi kuwa Mwenyekiti wa Uvccm Mkoa wa Arusha,Amewahi kukumbwa na dhahama ya kuzushiwa shutuma mbalimbali lakini zote mwishoni zilionekana ni uongo.

Amefanikiwa kuzima Harakati za Upinzani Kaskazini kwa aina ya mashambulizi anayoyatoa kwenye eneo la wenye Upinzani hapa nchini,Amekuwa target ya Upinzani kwa sasa wakiamini amepelekwa kule kuzika harakati za Kiongozi wa Upinzani nchini ili kumfanya hakose mwelekeo katika masuala ya kitaifa,

Wengi humtafsiri kama kiongozi mbabe na mkorofi kwa jinsi anavyofanya siasa zake.

Ole sabaya pia Amerudisha mashamba mengi yaliyokuwa ya wananchi lkn wakanyang'anywa na Makabaila, na alijaribu kuwaweka wananchi karibu kupitia kazi kabla ya kuanza kughulika na mbowe.

Ole sabaya ni mtu wa hesabu na mikakati na mtu anayethubutu sana kufanya maamuzi,Na anao ujasiri wa kumnyookea yeyote atakayejichanganya. Na akifanya jambo anakuwa amelifanyia hesabu na uchunguzi kwa muda wa kutosha.

Ana vita kubwa sana hasa ukizingatia yupo kwa mbowe.
Tayari amepata sifa kwa kufanya kazi zake kiintelejensia katika kudhibiti uhalifu mkubwa

JERRY MURO

DC Wa Arumeru,amewahi kuwa msemaji wa klabu ya yanga,Amezima kwa kiasi kikubwa harakati za Upinzani wilayani kwake,Tayari kamng'oa Mbunge wa Upinzani pale kwake,
Anapambana kutatua migogoro ya ardhi wilayani kwake ambayo ndio ilikua tatizo huko,

Mwanzo watu hawakuamini kama ataimudu wilaya kubwa kama Arumeru lakini sasa ameweza

Jerry sio mtu mbabe ila Anawahi kuhamaki,Tukio la kumkemea aliyekuwa DED wake ambaye sasa ni mkurugenzi NEC bila shaka hata yeye analijutia.

Pamoja na hayo anajitahidi kwa kadiri ya uwezo wake kupambana na kero za watu

ALEXANDER MNYETI

RC Manyara,amewahi kuwa DC wa Arumeru ,Aliwahi kukumbwa na masaibu ya kuonekana akitoa rushwa kwa viongozi wa Upinzani lakini haikuwai kudhibitika,Amewahi kuingia kwenye malumbano na Mrisho Gambo enzi akiwa DC Arumeru

Alifanikiwa kuanzisha vuguvugu la viongozi wa Upinzani kuhama vyama vyao,Kaituliza manyara sana,Tayari kaondoa wabunge wa Upinzani,Kafanikiwa kusimamia ujenzi wa ukuta wa mererani,anavita kubwa kutoka kwa mbunge millya.

Mnyeti ni muasisi wa Madiwani hawa kuhama,na kwa kweli Arumeru aliweza kushughulika na madawa ya kulevya hasa bangi huku akienda Field mwenyewe,

Mnyeti ni mtu mwenye uthubutu na uamuzi ila mwenye uwezo wa ziada wa kujichanganya na watu sana

ALLY SALUM HAPI

RC Iringa,Amewahi kuwa waziri wa mikopo UDSM,Akawa Katibu wa Shirikisho la ccm vyuo vikuu,Akawa DC Kinondoni
Anaendelea kumshugulikia Mbunge Msigwa

Cheche zake nyingi zilionekana Akiwa kinondoni kwa sasa kapoa ila nidhamu ya Iringa sasa pameanza kunyooka.

ALBERT CHALAMILA

RC Mbeya,
Amefanikiwa kulituliza Jiji la Mbeya lililokuwa limesheheni Upinzani,Ameingia kwenye mikwaruzano mikali katika kufanikisha uongozi wake lakini Mara nyingi ameshinda ,

Anaoneka na mkali sana linapokuja suala la nidhamu ukikumbuka suala la Wanafunzi aliowacharaza viboko na wale wananchi waliomfanyia fujo DC wake

Ni mchapakazi asiegopa kukosea wala kukosolewa.

View attachment 1356251

Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah hapo kwa Sabaya mpaka nimeona aibu, umeandika utopolo mtupu
 
Lete Mrejesho Fuata UPEPO with less intelligence....
 
Zamu zao zinakuja ziko karibu sana
 
Wacha Weeeee !!!!!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom