Majasusi waivuruga Australia. Wadukua mifumo yao ya kiusalama ya kompyuta. Macho yaelekezwa kwa China, Russia na Korea Kaskazini

Australia hawajakomaa bado upande wa Infosec hivyo nchi zilizoendelea zaidi kwa hiyo mifumo ni threat kwao na wanawaattack.
Sio rahisi kusikia nchi kama U.S imepata cyber attack kutoka nje.

Trump alishinda vipi?
 
Kijana uwe unakubali kujifunza acha kukaria story za vijiweni.Nimekuona toka mwanzo ulivyorukia kuniqoute sema nikataka niende na wewe polepole.Na nilivyoona unakomalia mambo ya virus sijui transistor nikaamua nijiridhishe kabisa ndo maana nikakuuliza kama una certificate yoyote ya hii field hata ile ya beginners kama Network,huna.Halafu unaniambia nikae nijifunze unadhani unaweza kunifunza kitu hii field wewe? Mimi nilivyomaliza nilitaka kuspecialize na Cyber ilikuwa moja na ya machaguo yangu sema nikaiacha nikaenda field nyingine but within IT.Japo sijakaa kufanya mtihani wowote wa cyber ili nipate certification ila kwa maelezo yako ninayokuona unayatoa kwa wadau humu nakuambia nakuzidi sana tu.
Cha muhimu kubali kujifunza sio kusoma articles mtandaoni unashika point fulani halafu unakuja kubishana na kuelekeza watu usiowajua huku.Kuna siku utabishana hadi na professional hackers.
Mkuu Hawa vijana hawaijui hii kada ya tech vizuri aiseee wanaichukulia pouwaa Sana Kuna meng na meng mazito Sana nilipata certification ya cybersecurity baada ya kuingia deep Sana kwa baadhi ya mambo lakin kila leo silal kwa ajili ya kutafuta mambo mapya
 
Cyber ina layers nyingi naona watu wanaichukulia kirahisi.Mimi nilitaka kuingia huku upande wa penetration testing ila nikaghairi baada ya kuona multiple layers.Yaani kwanza nijue Networking nje ndani,System Administration haya ma operating system na Programming nifahamu.Halafu hayo ma certifications sasa ambapo kwa beginner uwe nayo kama matatu manne hivi( A+,Network+,Security+).Hapo kwenye cyber unakuwa hujaingia bado inafaa upate ile certificate yao ya CISSP na ni lazima.Hapo ndo unakuwa kama intermediate. Hapo sasa ni wewe uanze kupambana uingie professional level kwa kuchukua certs nyingine kama CISA,SANS n.k.Mimi kwa mfano ningeendelea na ndoto ya kuwa penetration tester ingefaa nichukue na cert ya OSCP ndo nitambulike nimequalify hiyo kazi.Mwanangu haya mavitu ni soo ila ukifika hadi hiyo level umeula mzee.
Kuna jamaa alikuwa anahudhuria hadi conference zao huko Los Angeles California.Certs alikuwa nazo hivyo alivyoapply haikuwa shida kukubaliwa.Sahivi yupo London ni Chief Security wa kampuni fulani analipwa £500 per day!
 
Ndio maana yuke jamaa aliachana nayo akaamua awe stripper (not a good choice).

Hapana mkuu.

Australia wapo vizuri kwenye masuala ya ujasusi na mitandao.

Wana idara nyingi za ujasusi na kuna ile yaitwa ASD yaani Australian signals directorate inayoshughulikia ujasusi wa njia za mawasiliano.

Pili, Australia ni moja ya nchi tano zinazounda kitu chaitwa Five Eyes intelligence partners ambapo nchi tano zimo humo kuitazama dunia.

Nchi zingine ni New Zealand, UK, Canada, na baba lao USA.

Ukumbuke kihistoria hawa wote ni ndugu moja.

Hizi nchi zinaitazama dunia kama utazamapo kiganja chako.

Hivyo Australia inaweza kuwa inatumia hichi kisingizio cha kudukuliwa ili kutafuta sababu za kubinya zaidi matumizi ya internet na mitandao.
Waliamka pale alipotekwa Waziri mkuu alipokuwa anaongelea siku za likizo.. Hakuna anajua yuko wapi aidha hai au amekufa.. Lilikuwa pigo kubwa la kushangaza lkn wapenye zaji wakaimulika China...
 
Cyber ina layers nyingi naona watu wanaichukulia kirahisi.Mimi nilitaka kuingia huku upande wa penetration testing ila nikaghairi baada ya kuona multiple layers.Yaani kwanza nijue Networking nje ndani,System Administration haya ma operating system na Programming nifahamu.Halafu hayo ma certifications sasa ambapo kwa beginner uwe nayo kama matatu manne hivi( A+,Network+,Security+).Hapo kwenye cyber unakuwa hujaingia bado inafaa upate ile certificate yao ya CISSP na ni lazima.Hapo ndo unakuwa kama intermediate. Hapo sasa ni wewe uanze kupambana uingie professional level kwa kuchukua certs nyingine kama CISA,SANS n.k.Mimi kwa mfano ningeendelea na ndoto ya kuwa penetration tester ingefaa nichukue na cert ya OSCP ndo nitambulike nimequalify hiyo kazi.Mwanangu haya mavitu ni soo ila ukifika hadi hiyo level umeula mzee.
Kuna jamaa alikuwa anahudhuria hadi conference zao huko Los Angeles California.Certs alikuwa nazo hivyo alivyoapply haikuwa shida kukubaliwa.Sahivi yupo London ni Chief Security wa kampuni fulani analipwa £500 per day!
Dah! Nimekubali Mzee hiyo kitu ndo kila kitu
 
Back
Top Bottom