Majasusi wa Marekani wafichua namna walivyoipeleleza Tanzania

Naona umepanic sana, vipi wewe bado unamfulia maalimu seif nguo zake?
ww kwa mbinu zako ulizoingia nazo CCM lazima Mkuu wa Kitengo mr February atakutema mda si mrefu maana Akili yako imejaa shisha na ndumu, wenzako wanakula pesa za CCM kijanja na mbinu zao ni Digtal,lakini ww upo Analogia kwa 100% .
 
ww kwa mbinu zako ulizoingia nazo CCM lazima Mkuu wa Kitengo mr February atakutema mda si mrefu maana Akili yako imejaa shisha na ndumu, wenzako wanakula pesa za CCM kijanja na mbinu zao ni Digtal,lakini ww upo Analogia kwa 100% .
Nenda kwa Trump ndg yangu
 
Tukisema jamaa walimuua kuna wanaobisha na tukisema ubepari umetumia gharama kubwa kuua ujamaa na wana ujamaa watu wanapinga. Marekani ametumia mbinu nyingi sana kuhakikisha ujamaa unakufa kwa masrahi yake lakini hawatoweza. Wataua watu lakini moyoni tutabaki na imani yetu ya ujamaa kwasababu ubepari haukuletwa kutusaidia bali kukidhi masrahi ya weupe
ujamaa ulishajifia kitambo we cjui unaongea kitu gan
 
Ndio akili yangu imefika mwisho kabisa.

Ni upumbavu sana, kushabikia upumbavu wa mtu fulani na kuona ni sawa. Kamwe na haina faida kwa wewe kumtegemea mtu mwingine akufanyie kazi yako na wewe umekaa unabweka tu.

Trump is for Americans na Magufuli is for Tanzanians.
TRUMP is for WORLD mkuu
 
They were frustrated because of their inability to control Nyerere.........

Ndugu nilibahatika kukaa na kupiga stori na waziri wa ulinzi wa zamani enzi za Nyerere kuhusu muungano na kwa nini tuliungana akiainisha sababu kubwa,basi tangu siku hiyo ninamshangaa sana mtu anaepinga hii union badala ya kupendekeza kipi kiboreshwe.

Wengi wetu wanamihemko ya kisiasa thats why they dont see the bigger picture.
Wekeni wazi, hv kama ni vitu vzr mbona vinafichwa?
 
Sasa hivi mmebaki wenyewe huku JF na unyumbu wenu wa mitandaoni ila huko site wenzenu wameisha stukia utapeli wenu wameanza kurudi njia kuu.

Dhambi yenu kuu ilikuwa hapa View attachment 462691
Nyumbu ni CCM ambao wote wanaamini zidumu fikra za Mwenyekiti, Mzunguko wa pesa hakuna CCM nyumbu wamekariri zitakuja tu,Lugumi anadunda mtaani mmekariri ipo siku tu,Kivuko feki,mabehewa chakavu, Reli kwenda Airport,mmekariri ipo siku pesa itarejeshwa yaani nyumbu wa CCM ni wale wa Serengeti wanaohamia kenya kila mwaka, nyumbu wa CCM wanafurahia uwanja wa ndege chato na kununua ndege huku Lipumba akichotewa pesa Hazina kienyeji lakini hawathubutu kukemea,wamekalia kutengeneza uzushi na kuwanunua Wapinzani wenye njaa ili wawatumie kuwadhoofisha Ukawa.
 
Nadhani ni kipindi hicho ambacho Tanzania ikisimama na kuongea kitu Africa inatetemeka na Dunia inafatilia kwa ukaribu maamuzi ya Tanzania

Kuwaondoa Makaburu, Kuvunja uhusiano na nchi kama Uingereza, kuvunja uhusiano na Israel na kuitambua Palestina, Kuitambua Sahara Magharibina chama chao Polisario, Kuwa waanzilishi wa NAM (nchi zisizofungama na upande wowote), kuwa makao makuu ya wapigania uhuru wa Kiafrica, (Zimbabwe, Namibia, RSA, Angola, Mozambique nk) na pia kuwa makao ya wna harakati maarufu, Mondlane, Samora, Museveni, Kagame, Garang, Obote, Rule,

Zile Zama zimepita na sasa Tanzania haina tena zile nguvu
Mkuu Kituko,kwa kweli ukitaka kujua jinsi Tanzania ya wakati ule ilivyokuwa inaheshimika pamoja na watu wake (chini ya Mwl. Nyerere), tembelea nchi za nnje na ukutane na wanasiasa/wanamapinduzi/wajamaa wa enzi hizo na wakuhadithie "umwamba wa Tanzania ya Mwalimu",hapo lazima utatoa machozi.
Kwa sasa si nchi,si CCM wala chama chochote cha upinzani kilichoweka mipango au sera za kuwaibua na kujenga vijana wenye moyo wa kweli wa uzalendo na upendo kwa Taifa lao zaidi ya kuangalia matumbo yao tu. Vijana kama Sabato Nyamsenda ni tunu sana kwa Taifa hili kama wangewekewa misingi mizuri ya kuwaendeleza kwa kuchukua mawazo yao na kuyafanyia kazi.
 
Para ya nne kutoka mwisho inamtaja Mkapa kama moja ya successor watarajiwa, na kweli alikuja akawa Rais.

Para ya pili kutoka mwisho inazungumzia jinsi ambavyo CIA wali - underestimate uwezo wa Mwl Nyerere kuiendesha nchi kwa kutumia remote, walidhani atafanya hivyo kwa miaka miwili ya mwanzo tu, cha kushangaza mpaka Mwinyi anaondoka madarakani bado Nyerere alikuwa mbele kwenye kusababisha maamuzi.

Mkapa akaja, na kwa kuwa jamaa walisha mweka kwenye moja ya expected successor, ni ukweli kwamba watakuwa walishampa mipango yao, watakuwa walishakaa meza moja kujadili jinsi ya kuhakikisha Mwl hawi pingamizi kwenye maamuzi ya kuhama kutoka kui-favor China na kurudi US.

Hivi Barick ameingia Tz msimu upi?

Naogopa kusema kwamba hakukuwa na namna nyingine ya kumaliza influence ya Mwl zaidi ya kilichofanyika, sote tunajua.

RIP Mwl.
Hapo mwishoni unamaanisha nini?
 
Na wewe ni mfamaji, udikteta unaufahamu, endeleza unyumbu wako wakati wenzio huko Singida wameishastuka na wanamfahamu dikteta ni nani? Soma #2 hapo chini, ukishamaliza useme je huyo dikteta wenu wa Ufipa na Singida ataondolewa na nani 2020View attachment 462684

bdo,
Unaonekana hujitambui!!!!
Unajua maana ya dikteta? Dikteta ni mtu anayetawala pasi kufuata KATIBA ya nchi the way your Presida Magufuli is ruling now!
Tabia ya KUZUIA MIKUTANO NA MAANDAMANO nchini mpaka 2020 ni ukiukwaji mkubwa wa Katiba ya nchi!Rais anayeweka watu kizuizini/mahabusu na kuwanyima dhamana ni kukiuka Katiba!
Rais anayeamrisha Wabunge wa upinzani wakamatwe na kuwekwa ndani kwasababu ya kumkodoa ni Dikteta tosha!
Hiyo karatasi ya vibaraka wa CCM kudai wanaongozwa kidikteta ni uchizi tu na sana ni gia ya kurudi CCM wala hakuna udikteta wowote hapo!
 
Mkuu Kituko,kwa kweli ukitaka kujua jinsi Tanzania ya wakati ule ilivyokuwa inaheshimika pamoja na watu wake (chini ya Mwl. Nyerere), tembelea nchi za nnje na ukutane na wanasiasa/wanamapinduzi/wajamaa wa enzi hizo na wakuhadithie "umwamba wa Tanzania ya Mwalimu",hapo lazima utatoa machozi.
Kwa sasa si nchi,si CCM wala chama chochote cha upinzani kilichoweka mipango au sera za kuwaibua na kujenga vijana wenye moyo wa kweli wa uzalendo na upendo kwa Taifa lao zaidi ya kuangalia matumbo yao tu. Vijana kama Sabato Nyamsenda ni tunu sana kwa Taifa hili kama wangewekewa misingi mizuri ya kuwaendeleza kwa kuchukua mawazo yao na kuyafanyia kazi.
Hili ni halisi, hasa Robert Mugabe anapomliliaga Nyerere kila wakati.
 
Shirika la Ujasusi la Marekani limetoa nyaraka zenye jumla ya kurasa milioni 12 zikionyesha jinsi nchi hiyo ilivyokuwa ikiifanyia ujasusi Tanzania.

Katika nyaraka hizo zimeonye pia namna taifa la China lilivyokuwa na ushawishi kwa Tanzania katika masuala ya Siasa, Uchumi na Jeshi na shughuli mbalimbali za Rais wa kwanza wa Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

=======
THE United States Central Intelligence Agency (CIA) has made public more than 12 million pages of declassified documents online, some of which reveal the US spy agency's history of spying on Tanzania.

The extraordinary database, which was put online last week, exposes previously top secret internal CIA reports outlining America's longstanding concerns on China's political, military and economic influence in Tanzania and the inner workings of former president Julius Kambarage Nyerere's government.

The files show how the CIA had an unfavourable view of Nyerere, who was well-respected globally as a great statesman and leader of the pan-African movement.

The decades-old treasure trove of US intelligence reports reveal how the US was apparently uneasy with Nyerere's leadership of the African liberation struggle, describing him as a "fanatic."

The intelligence files suggest that the US government was increasingly frustrated by its inability to control or influence Nyerere, although he was a Western educated African leader.

In one secret special CIA report dated 21 May 1965, US intelligence officers expressed concern at Nyerere's pan-Africanist position, just four years after Tanzania gained its independence from Britain.

"Tanzania under President Julius Nyerere has been drifting slowly but steadily leftward. Today, it has moved into the vanguard of Africa's radical states and offers the Chinese communists an unusually promising opportunity to penetrate the (African) continent," said the top secret CIA file titled "Tanzania Taking the Left Turn."

"This process (of Chinese influence) has been under way at varying speeds since Tanganyika became independent ... but has been accelerated by Nyerere's determination to lead the struggle for the liberation of southern Africa and by Tanganyika's union with Zanzibar. Far from coming under moderate Tanganyikan control, Zanzibar has continued to be a centre from which radical, pro-Communist influences radiate."

In its files, the CIA makes a somewhat skewed opinion of Nyerere in the early years of Tanzania's independence, describing him as a "weak executive who has surrounded himself with radical lieutenants."

"On the question of African liberation, Nyerere is a fanatic. Beneath a charming personality which disarms many Westerners, he is a man of strong conviction, prepared to pay almost any price to achieve a united Africa ruled by black Africans," said the dossier.

"Hypersensitive to any suggestion of outside interference, Nyerere has not hesitated to expel US diplomats and reject West German aid regardless of the consequences."

The sensitive CIA documents noted how China beat the US by becoming the first nation to establish an embassy in Dar es Salaam after Tanganyika's independence and hence "attained the most influential and trusted position."

"China's presence and prestige in Tanzania has increased steadily ... The Chinese may eventually press too hard in Tanzania, but so far they have been more successful than the West or the Soviets in relating themselves to the Africans," said the file.

MILITARY ESPIONAGE

In July 1971, the CIA conducted a secret intelligence case study in Tanzania titled "Chinese Communist Economic and Military Aid to Tanzania," which shed more light into America's decades-old fears about “all-weather” Tanzania-China relations.

"Communist China has established itself as the principal foreign presence in Tanzania during the past three years. The Chinese are now the primary source of arms and training for Tanzania's military establishment," said the report.

The intelligence files also reveal that the CIA conducted espionage activity to identify possible successors to Nyerere when he leaves office.

In November 1982, the CIA prepared a 25-page intelligence assessment report titled "Tanzania: Nyerere and Beyond" which looked into possible scenarios for Nyerere's possible exit from power, including a military coup.

"President Julius Nyerere's hold on power is slipping, in our judgement, mainly because he and his government are having increasingly difficulty dealing with Tanzania's numerous and deepening economic problems," said the intelligence report.

"US embassy officials in Dar es Salaam report that public criticism of Nyerere has become more widespread as these problems mount. Although we have seen no evidence of any organised opposition, discontent is growing among government officials, military personnel and the general public."

The report also assessed various possible successors to Nyerere in 1982, including former prime minister Edward Sokoine, former army chief Gen. David Musuguri, planning and economic affairs minister Kighoma Malima, Tanzania's ambassador to the United States Paul Bomani, prime minister Cleopa Msuya, Tanzania's ambassador to Canada Benjamin Mkapa and personal assistant to the president, Joseph Butiku.

In October 1986, the CIA produced yet another intelligence dossier titled "Tanzania: Prospects for Change," which was drafted just a year after Nyerere's decision to voluntarily step down.

The US seemed to under-estimate Nyerere's influence on key decisions in Tanzania from behind the scenes after his retirement, saying he would only do so for just a couple of years after his retirement in 1985.

"We believe that former president Julius Nyerere's far-reaching influence will continue to affect the character of Tanzanian politics over the next two years, despite his decision to resign as chief of state ... Nyerere still holds key decision-making power that can undercut the government's authority and give continuing influence to his proteges and followers," it said.

Source: IPP Media
Ushawishi wa nyerere kwa Tz nazan had anakufa Mzee bado alikuwa na nguvu sana.
Mzee nyerere alikuwa ni mjanja na mwenye ushawishi Mkubwa sana kwenye harakat za nchi za Africa na kuonesha hilo angalia alivyosadia mataifa mengi ya Africa kuwa huru na kuendesha harakat nying sana ikiwemo kuwakataa waz waz Israel na hata kufunga ubaloz wao kisa uvamiz wao kule Palestine, kutokuitambua Morocco, na harakat zake za kuhakikisha Africa linakuwa taifa moja (alikuwa moja ya waanzilishi hata w oau) na mengine kibao

Angalia Sera zake za kiuchumi na kisiasa alifanya mambo kwa umakin sana na hata hakuruhusu mabepali waweze kumpangia mambo hasa misimamo yake alikataa kuwa kibaraka

Na alichagua kuwa na wachina aliona ndiyo marafik wa maana angalia mambo waliochangia kuleta mapinduz ya viwanda enzi zake na miundombinu nyerere alifanya zaid hata marais wengine hakuna cha maana walichokuja kufanya ZAID ya kuharibu tu viwanda na mashirika ya umaa

Suala la Zanzibar lina maana zaid na usije kuona kwanini huu muungano hauwez kuvunjwa kuna mambo mengi yenye manufaa KWA faida yetu kama taifa . japo vijana wa sasa wanaona hauna maana ila Zanzibar ni sehemu muhimu ki usalama na mengine kwa kanda hii ya kwetu

Huenda ni kwel USA walimpuuzia baada ya kuona ana pumzika lakin ushawishi aliokuwa nao hata anafarik ndiyo ulikuwa unawashangaza mabepari.

Angalia tukio la kupatikana kwa raisi 1985 alichunguliwa mwinyi kitu ambacho hawakutegemea uje tena angalia tukio la kupatikana KWA raisi mkapa maamuz yake ndiyo yaliamua awe raisi.

Mzee alijenga misingi imara kwa taifa kias kupata vibaraka ilikuwa ngumu kwao aliunganisha taifa kidini na kiimani na tuliongea lugha moja ya utanzania tofaut na sasa u dini, ukabila ndiyo vimetanda moto

Mzee alikuwa ni kiongoz wa kipekee na aliongozwa na kuwa mzalendo zaid kwa Tz na Africa kiujumla.


R.I.P nyerere wabakia wachumia tumbo tu na wapenda sifa wanapiga kelele tu uzalendo wao ni wa kutia hofu
 
bdo,
Unaonekana hujitambui!!!!
Unajua maana ya dikteta? Dikteta ni mtu anayetawala pasi kufuata KATIBA ya nchi the way your Presida Magufuli is ruling now!
Tabia ya KUZUIA MIKUTANO NA MAANDAMANO nchini mpaka 2020 ni ukiukwaji mkubwa wa Katiba ya nchi!Rais anayeweka watu kizuizini/mahabusu na kuwanyima dhamana ni kukiuka Katiba!
Rais anayeamrisha Wabunge wa upinzani wakamatwe na kuwekwa ndani kwasababu ya kumkodoa ni Dikteta tosha!
Hiyo karatasi ya vibaraka wa CCM kudai wanaongozwa kidikteta ni uchizi tu na sana ni gia ya kurudi CCM wala hakuna udikteta wowote hapo!
Kaka
Usinionee - sio mimi niliyeandika hio press release, utaniua bure - walio ongea na waandishi wa habari wanaufahamu ukweli zaidi, na walikuwa viongozi wa chama chao.

Ila ni ukweli kuwa Tundu Lisu (MB) wa Singida Mashariki ni Dikteta, angalia hoja za hao viongozi wenzake hawa hapa
IMG-20170121-WA0013.jpg
 
Mkuu Kituko,kwa kweli ukitaka kujua jinsi Tanzania ya wakati ule ilivyokuwa inaheshimika pamoja na watu wake (chini ya Mwl. Nyerere), tembelea nchi za nnje na ukutane na wanasiasa/wanamapinduzi/wajamaa wa enzi hizo na wakuhadithie "umwamba wa Tanzania ya Mwalimu",hapo lazima utatoa machozi.
Kwa sasa si nchi,si CCM wala chama chochote cha upinzani kilichoweka mipango au sera za kuwaibua na kujenga vijana wenye moyo wa kweli wa uzalendo na upendo kwa Taifa lao zaidi ya kuangalia matumbo yao tu. Vijana kama Sabato Nyamsenda ni tunu sana kwa Taifa hili kama wangewekewa misingi mizuri ya kuwaendeleza kwa kuchukua mawazo yao na kuyafanyia kazi.

mkuu Joel na bdo , ni ukweli ukifika nchi za kusini mwa Africa na ukakutana na wazee wa zamani wa hizo nchi watakupa heshima zote kama mTanzania, na watakupa Historia ambayo wala hukuifikiria wala kuijua, unafika Zimbabwe wale Askari veteran hawajui Kiswahili lakini wanajua Mguu pande, mguu sawa nyuma geuka nk, lugha ile ya Jeshi yote wanaijua na wanakwambia walikuwa wanafundishwa na Askari wa Kitanzania, na mpaka Zimbabwe inapata uhuru kuna Askari wengi wa Kitanzania walibakia kule na kuwa Wazimbabwe,
Kuna sehemu tumepotea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom