Majani ya mnanaa tiba ya kusafisha na kutoa sumu ndani ya figo

MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,431
2,000
MINT.jpg


Miaka inapita figo zetu zinachuja damu kwa kuondoa chumvi na bakteria wasiohitajika waliomo kwenye miili yetu. Baada ya muda wa chumvi kukusanyika kwenye figo hali inayopelekea kuhitaji tiba ya kusafishwa.

Ifuatayo ni njia nyepesi na rahisi ya kusafisha figo.

  • Chukua fungu la majani ya mnanaa na uoshe. Katakata vipande vidogo vidogo na weka kwenye sufuria .
  • Mwagia maji safi na kisha chemsha kwa dakika kumi(10) kisha acha yapoe.
  • Chuja kimiminika chako chenye majani ya mnanaa na hifadhi kwenye chupa safi kwenye friji ili iendelee kuwa baridi.
  • Kunywa glasi moja ya maji kila siku na utaona mabadiliko. Chumvi na yote na uchafu mwingine uliokua umejikusanya utatolewa nje ya figo wakati wa kukojoa. Utaweza kugundua mabadiliko ya mwili wako mwenyewe.
Majani ya Mnnanaa yanajulikana kwa kiasi kikubwa kama tiba ya kusafisha figo na sehemu kubwa ya mmea huu ni asili.

ONYO: Hii Dawa kwa Mwanamme asitumie zaidi ya siku 7 tu kwani ukitumia kwa wingi Mwanamme inapunguza nguvu za kiume Tafadhali sana usitumie zaidi ya siku 7 tu.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +44-7459-370-172 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
 

MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,431
2,000
nasumbiliwa na mawe kwenye figo naweze tumia hiyo
Jaribu lakini Hiyo sio dawa ya kutoa mawe kwenye figo. Kuna dawa ya kutoa mawe katika figo uktaka nitafute kwa wakati wako.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +44-7459-370-172 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili Herbalist mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Herbalist MziziMkavu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom