Majani ya kulishia ng'ombe

GAGL

JF-Expert Member
Aug 5, 2010
287
250
Unataka kuyapanda wapi ,mkoa gani?
Majani yapo aina nyingi kama Guatemala, elephant grass nk.

Nataka kujua hali ya hewa ulipo, unyeshaji wa mvua nk.
Mkuu kwa sasa nafikiria kuhudumia wateja wa Dar kwa hawa ng'ombe wa kisasa. Hivyo nafikiria kuyalima Kisarawe, huko ndiko nina eneo.
 
Jando na Unyago wa Kisasa

JF-Expert Member
May 20, 2021
305
500
Mkuu kwa sasa nafikiria kuhudumia wateja wa Dar kwa hawa ng'ombe wa kisasa. Hivyo nafikiria kuyalima Kisarawe, huko ndiko nina eneo.
Kwa mkoa wa Pwani (Kisarawe) majani yanayofaa ni majani tembo jina la kisayansi Pennisetum purpureum ,kwa kiengereza elephant grass.
Haya yana uwezo mkubwa wa kuvumilia ukame na yanastawi sehemu ya ardhi yoyote.

Kwa msaada zaidi kama utapenda Tafuta kitabu hiki-Mwongozo wa Ufugaji Bora wa Ng'ombe wa maziwa.Kuna maelezo ya kila aina ya majani yote na sifa ya majani,na jinsi ya kuvuna na kuhifadhi.

Mpigie 0756625286,yeye anauza Kitabu na ni mtaalam na mzoefu wa mambo hayo pia atakushauri kuhusu mambo ya Ufugaji wa ng'ombe na ulimaji wa malisho.
 
muggyen

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
331

Na akijaribu Hydroponic Fodder sio mbaya, ngano/barley hukua kwa kasi na huweza kujazilizia pale inapokuwa majani hayapo. Ulizia kwa watalaamu wa kilimo watakujuza zaidi au unaweza pita YouTube kujuojea kidogo vile yapo.
 
Bill

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
6,570
2,000
Kutokana na ngano kua na matumizi mengine hydroponic fodder ni gharama kufanya mkuu .ila pia hydroponic kiuhalisia quality yake kwa mifugo kama mbuz na ng'mbe aiko vizur kutokana na kua low dry matter content offcoz ni kwamba aiwez kutoshereza mahitaji mnyama vizur.
Pia gharama yake yaweza kuwa kubwa zaidi hivyo gharama za uzalishaji kuwa kubwa hivyo kupunguza faida
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom