Majangaaaa!

Feb 7, 2013
43
3
Naombeni msaada jana nilikua na demu tunataka kufanya tendo la ndoa lakini mara ya sita sasa kila nikiwa na mwanamke uume hausimami sawasawa na tangia ni zakiwe sijawahi kufanya tendo la ndoa nifanyeje!
 
unaumwa kitete wewe....................kamwone daktari
kwanza unajua tundu la kuingizia kweli??
 
Wewe kwa tatizo hilo una sifa zote za kuwa mwanachama wa CUF! Kaungane na waliberali wenzako! Huna sifa za ulijali. Yaani nikutane na kitu moto halafu mashine igome! Wewe mliberali
 
Naombeni msaada jana nilikua na demu tunataka kufanya tendo la ndoa lakini mara ya sita sasa kila nikiwa na mwanamke uume hausimami sawasawa na tangia ni zakiwe sijawahi kufanya tendo la ndoa nifanyeje!
Wewe ulitaka kuzini, siyo kufanya tendo la ndoa. Utafanyaje tendo la ndoa pasipo ndoa kuwapo?!! Tendo la ndoa ni takatifu wakati wewe unaotaka kuufanya ni uchafu.
 
Hapa hutoweza kupewa ushauri wa moja kwa moja kutokana na headline uliyoweka ndio maana unapewa hayo maneno hapo
 
Pole kijana..jaribu kumwona dakt. Pia inawezekana huwa unakua na hofu sana once ukitaka kufanya hvo au hujiamni..
 
siyo lazima ufanye na huyu mwanamke mkuu utaumia bure kuna vingine haviliki au wewe haujui hilo?
 
Naombeni msaada jana nilikua na demu tunataka kufanya tendo la ndoa lakini mara ya sita sasa kila nikiwa na mwanamke uume hausimami sawasawa na tangia ni zakiwe sijawahi kufanya tendo la ndoa nifanyeje!

Kwa maelezo yako nimegundua unatatizo la stress ambayo hukupelekea wewe kushindwa kusimamisha uume pindi unapokutana na msichana,kuna vitu huwa unajadili kimoyomoyo kama je utaweza kumfikisha kileleni uyo msichana au la.Sasa wakati unawaza hivyo hisia zinapotea na unakua pale kimwili lakini kiakili unakua sehemu nyingine kabisa.Nakushauri utakapo kutana tena na msichana jaribu kuweka mawazo yako yote pale kwa kipindi chote utakachokua nae chumbani na pia jitahidi kula samaki watakusaidia sana.Ova
 
Naombeni msaada jana nilikua na demu tunataka kufanya tendo la ndoa lakini mara ya sita sasa kila nikiwa na mwanamke uume hausimami sawasawa na tangia ni zakiwe sijawahi kufanya tendo la ndoa nifanyeje!

Unajichua(Masterbation)?
 
kama ni Mkristo tafuta kitabu kinaitwa Biblia (ambacho ndio dira ya imani yako), halafu soma Amri Kumi .za Mungu, hasa ile ya sita.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom