Majanga yaliyonikuta kwa kutokunywa maji mengi, usiombe yakukute

Du pole sana mkuu. Hilo tatizo hata mm lilikuwa likinikuta marà kwa mara kwa sababu ya kutokula chakulla chenye nyuzinyuzi kama matunda na mboga mboga. Baada ya kuzingatia masharti tatizo limekwisha.
 
Hili swala watu wanalichukulia kawaida mie saiz ni kama zaid ya miezi miwili mwanzo niidhani n minyoo nimekunywa dozi Mara mbili wapi mboga mboga natumia kila mlo sababu kabustani ka mboga kapo home ugali n Dona natumia saiz n zaid ya miaka mitano ila hilo LA maji wacha nilianzishe saiz.

Ila usiombe mie nikihisi haja tuu naanza kulifikiri itakuwaje huko chooni sema huwa najikaza lile LA kwanza likitoka tuu hao wanaofuatia huwa wanaspid ya ajabu huwa nafkir n maumivu ka ya mwanamke anaezaa ndo Mana sikuhz huwa namuhurumia sana mke wangu kwa watoto watatu alionizalia.

Cheka tuu ila usiombe yakukute unaeza cheza Mziki chooni na ukaimba bila biti aisee
 
Pole
Haijawani tokea;

Nilikuwa nasikia Kwa watu tu hii kadhia.

Leo nimeingia chooni, kwakweli choo nilikuwa nayo, lakini ilikwama kutoka ilikuwa ngumu sana, nimekaa chooni karibia lisaa, choo kimechungulia ila hakitoki, kwakweli maumivu niliyoyapata yalikuwa ni makubwa sana, haijawahi tokea, nilijaribu kukibana kipungue ukubwa lakini wapi, choo kilikuwa kigumu sana, yaani ikabidi nianze kusali tu, maana nilihisi kuchanganyikiwa kabisaa na Yale maumivu makali.

Baada ya mda nikapata wazo la kumogoa kipande kidogo kidogo Kwa vidole, yaan nilikuwa namogoa halafu nasimama kuyabana then nachuchumaa namogoa tena, hivyo tena Kwa maumivu makali sana!

Namshukuru Mke Wangu Kwa kunitia moyo kwamba nijikaze, Mke Wangu alinisisitiza kwamba tatizo hilo huja kutokana na kutokunywa Maji mengi (Constipation). Kanisisitiza sana niwe nakumbuka kunywa Maji mengi, na ni kweli sina kasumba ya kunywa Maji kabisa nikiwa katika kazi zangu, na pengine huwa Niko busy sana kiasi kwamba saingine nikishakunywa chai asubuhi mchana huwa sipati lanchi, kiufupi Mimi ni miongoni mwa watu wavivu kunywa Maji mengi.

Lakini kuanzia sasa nadhani nitakuwa mfano Wa kuigwa, nimeumia sana, ilifika hatua niiaanza kuwaza na yasiyowazika, niliwaza hivi hali ile ingenikuta nikiwa ugenini au kwenye ndege ningefanyeje. Nikazidi kujitisha hivi mfano tetemeko lingetokea kama kule bukoba ingekuwaje, yoote hayo niliyawaza Kwa hofu tu.

Nimejifunza mwenzenu, na nimeweka hii post ili kuwanusuru nanyi msijisahau kunywa Maji balaa hili lisije wakuta ambalo sijui kama hata hospital ukizindiwa wanakusaidiaje
Hapa ********* unauma balaa! Nimemogoa taratibu taratibu hivo hadi choo kikatoka chote, ila nimeumia sana, nimewaza kumbe wanawake wanapojifungua huumia kiasi kile! Maana Mke Wangu kaniambia hayo maumivu niliosikia ni Mara tano kwa maumivu ayapatayo mwanamke.

Kwakweli NIMEKOMA SITASAHAU KUNYWA MAJI MWENZENU TENA,
KUNYWENI MAJI NANYI YASIJE WAKUTA WADAU. Ni ushauri tu msinielewe vibaya.
 
Vitu vingine vinavyochangia constipation:
- Medications. eg painkiller.
-Lack of exercise
-Kutokula enough fiber kama Matunda, Mboga, Popcorn.
-Baadhi ya vyakula kama ugali wa mtama na nyama kwa wingi.
-Kubadilisha routine yako kama muda wa kula, kulala.
-Pombe
-Kuzuia kwenda chooni.

Kuna wengine mpaka wanatokwa na damu kwenye haja kubwa.
 
Sio maji tu na lishe yako kwa ujumla,kula matunda na mbogamboga sana,vyakula vyenye nyuzi nyuzi vitakusaidia,have lots of smoothies /juice usichuje
Mwenzio I poop every day or skip one day:)
 
Haijawani tokea;

Nilikuwa nasikia Kwa watu tu hii kadhia.

Leo nimeingia chooni, kwakweli choo nilikuwa nayo, lakini ilikwama kutoka ilikuwa ngumu sana, nimekaa chooni karibia lisaa, choo kimechungulia ila hakitoki, kwakweli maumivu niliyoyapata yalikuwa ni makubwa sana, haijawahi tokea, nilijaribu kukibana kipungue ukubwa lakini wapi, choo kilikuwa kigumu sana, yaani ikabidi nianze kusali tu, maana nilihisi kuchanganyikiwa kabisaa na Yale maumivu makali.

Baada ya mda nikapata wazo la kumogoa kipande kidogo kidogo Kwa vidole, yaan nilikuwa namogoa halafu nasimama kuyabana then nachuchumaa namogoa tena, hivyo tena Kwa maumivu makali sana!

Namshukuru Mke Wangu Kwa kunitia moyo kwamba nijikaze, Mke Wangu alinisisitiza kwamba tatizo hilo huja kutokana na kutokunywa Maji mengi (Constipation). Kanisisitiza sana niwe nakumbuka kunywa Maji mengi, na ni kweli sina kasumba ya kunywa Maji kabisa nikiwa katika kazi zangu, na pengine huwa Niko busy sana kiasi kwamba saingine nikishakunywa chai asubuhi mchana huwa sipati lanchi, kiufupi Mimi ni miongoni mwa watu wavivu kunywa Maji mengi.

Lakini kuanzia sasa nadhani nitakuwa mfano Wa kuigwa, nimeumia sana, ilifika hatua niiaanza kuwaza na yasiyowazika, niliwaza hivi hali ile ingenikuta nikiwa ugenini au kwenye ndege ningefanyeje. Nikazidi kujitisha hivi mfano tetemeko lingetokea kama kule bukoba ingekuwaje, yoote hayo niliyawaza Kwa hofu tu.

Nimejifunza mwenzenu, na nimeweka hii post ili kuwanusuru nanyi msijisahau kunywa Maji balaa hili lisije wakuta ambalo sijui kama hata hospital ukizindiwa wanakusaidiaje
Hapa ********* unauma balaa! Nimemogoa taratibu taratibu hivo hadi choo kikatoka chote, ila nimeumia sana, nimewaza kumbe wanawake wanapojifungua huumia kiasi kile! Maana Mke Wangu kaniambia hayo maumivu niliosikia ni Mara tano kwa maumivu ayapatayo mwanamke.

Kwakweli NIMEKOMA SITASAHAU KUNYWA MAJI MWENZENU TENA,
KUNYWENI MAJI NANYI YASIJE WAKUTA WADAU. Ni ushauri tu msinielewe vibaya.

Mkuu hauna jirani mwema? Ungeomba tu kushughulikiwa kisayansi zaidi kwa kushikishwa ukuta, ubishe usibishe ungekunya tu tena kwa raha zaidi.
 
Back
Top Bottom