Majanga ya shule jimboni kwa Mwakyembe

Jenifa

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
605
305
Watoto shule hii Kyela wanatumia choo kimoja. Msomi wa shahada sita wananchi wake hoi.
photo1.jpg
 
Watoto shule hii Kyela wanatumia choo kimoja. Msomi wa shahada sita wananchi wake hoi.View attachment 356193

Kwa mazingira wanayosomea hawa watoto wakifanikiwa kupata PhD kama mbunge wao watakuwa waongo kama mbunge wao hawatakuwa na msaada wowote kwa nchi na watawatendea wananchi wenzao wa kyela kama yeye mbunge wao anavyowatendea kwa kushindwa hata kujenga vyoo kwenye shule jimboni kwake
 
Back
Top Bottom