Majanga: Wananchi wa Dar wavamia Uwanja wa ndege na kuingia ndani kumuaga Hayati Magufuli

Bora walivyodhibitiwa hawachelewi kuiba matairi ya ndege...

Wengine mpaka engine za ndege wangebeba...
 
Mkuu umenena vyema, nikweli hakuna mtanzania anayetaka serikal ya madili this time around. Yani mama ajipange akiruhusu wahuni wamtawale basi ajue atapigwa vita na watz wote
Pia hanasababu ya kushindwa kuendeleza pale alipo achiwa na mtangulizi wake
Chadema kubalini JPM alipendwa hasa na watanzania. Hili liwe funzo kwa JK na Samia kuwa usilete ufisadi wa 2005-2015
 
Back
Top Bottom