#COVID19 Majanga: Wagonjwa 11 waongezeka ikiwa 6 ni Watanzania madereva wa malori wakitokea Tanzania na 5 ni wa Kenya

Mseveni anatuchafua ,ni kama ina maana wageni ndo wanaingiza corona kwao hawaambukizani na cases haipandi ila wanapona ,huyu mzee ni mwongo

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Museven yupo sahahi na c muongo kachukua hatua mapema Sana na mpaka sasa raia wake wote wapo ndani, museven anajali afya za RAIA wake sio uchumi , uchumi wenyewe bila RAIA wenye afya hauna maana yeyote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uganda wanahitaji mazao na vifaa kutoka Tanzania lakini wanalialia kama vitoto vilivyokosa lawa lawa. Wafunge tu mpaka wafe na njaa.
 
Mimi sio kipofu kuna mahali ndio nini kama serikali imechangia shilingi ngapi?
Sasa hapo ndio ume-prove kama wewe ni kipofu. Mbio za mwenge zilisitishwa sijui lini, sherehe za Muungano zimesitishwa sijui lini na mpunga wote huo hufahamu umekwenda wapi vile vile hata wewe kama unataka uchangia, changia kuna wizara ambayo inafanya hilo jukumu. Amka kutoka usingizini.
 
Mseveni anatuchafua ,ni kama ina maana wageni ndo wanaingiza corona kwao hawaambukizani na cases haipandi ila wanapona ,huyu mzee ni mwongo

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Mkuu kwani corona ilianzia Uganda au Tanzania? Au unadhani inasafiri yenyewe? Au ulivyokuwa unasikia watu wakimtaka Magufuli afunge mipaka wewe ulikuwa unaelewa nini?
 
Mwisho Wa vita tutajua mshindi nani, tuache akiba ya maneno
Tanzania itaibuka kidedea,juzi ameteuliwa karibu mkuu ili atuletee data za waliopona kwa kulala tu pale amana
 

Attachments

  • VID-20200424-WA0003.mp4
    961.4 KB
Ugonjwa wa corona ni wa kawaida tu ,Uganda waache kutesa Wananchi wake kwa kufungia Ndani
Kweli mkuu,chapa kazi,waambie na daktari wa Amana warudi kuchapa kazi
 

Attachments

  • VID-20200424-WA0003.mp4
    961.4 KB
Sasa hapo ndio ume-prove kama wewe ni kipofu. Mbio za mwenge zilisitishwa sijui lini, sherehe za Muungano zimesitishwa sijui lini na mpunga wote huo hufahamu umekwenda wapi vile vile hata wewe kama unataka uchangia, changia kuna wizara ambayo inafanya hilo jukumu. Amka kutoka usingizini.
Yaani wagonjwa wanatoroka hospitali halafu wewe unasema hela za mwenge zipo huko hivi inaingia akilini
 
Hii inakaaje katika image za kimataifa kwamba Tanzania tunamaambikizi makubwa sana tofauti na inavyotangazwa na Serikali ya Tanzania?
cutelove, hilo ndo jibu kwahiyo pigia tu mstari!

Kwanza hadi sasa kwa Afrika Mashariki excluding Burundi, Tanzania ndiyo imepima watu wachache zaidi! Hatujafika hata nusu ya wale waliopimwa Uganda, ambao hadi sasa ukichanganya na madereva wetu bado hawajafikisha cases 100.

Hatujafikisha hata nusu ya wale waliopimwa Rwanda ambao tumewapiga gap kwa zaidi ya 100.

Hatujafika hata nusu ya wale waliopimwa Kenya ambao afadhali wametupiga gap la watu 36, na hawa huwa wanatoa updates almost kila siku! Kuna uwezekano mkubwa Tz wakitoa updates tukawa na wenyewe tumeshawapiga gaps!

Yote hayo yanatokea wakati tupo nyuma sana kwa kivipimo... what kama tungekuwa tumewafanyia watu wetu vipimo kwa wingi kama walivyofanya nchi zingine?!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom