Majanga chini ya utawala wa jk ni laana ya wazee wa east africa community?

bemg

JF-Expert Member
Apr 25, 2010
2,799
642
Je tuseme haya majanga yanalolikumba taifa letu ni laana kutoka kwa wazee wa east africa kutolipwa pesa zao na serikali?
 
MV Bukoba umesahau lile tukio?
Treni iliyorudi nyuma na kuparamia mabehewa nalo umesahau?
Kuungua kwa Bweni la Shauru Tanga nalo?

Matukio hayo yote Mh. Kikwete hakuwa Raisi.
 
Je tuseme haya majanga yanalolikumba taifa letu ni laana kutoka kwa wazee wa east africa kutolipwa pesa zao na serikali?

tatizo wale wazee wengi wao wanaishi ilala. ni waswahilina. hapa jk na serikali yake mtawalaumu bure.

kama kweli wanataka hela zao lazima waache kudai huku wamevaa misuli
 
Aende akamuombe Mzee Ndesamburo na Uongozi wote wa CDM radhi kufuatia masikitiko yao makumwa kufuatia yaliotokea Arusha.

Wale wazee wa utumishi Afrika Mashariki na kilio chao cha kila leo na hata kupigwa mabomu, yatima na wajane KUZULUMIWA NCHI; Mungu hapendezwi na mienendo yetu hata kidogo hapo.

Tanzania Tumrudie Mungu, turuhusu kutekeleza wanachotaka wananchi waliowengi!!!
 
Back
Top Bottom