Majambazi yavamia na kupora pesa Usinge Tabora

Tido mtoga

JF-Expert Member
Oct 21, 2015
514
433
Majambazi walikuwa na silaa wamevamia M-pesa na kutoka na kitita kisicho pungua milion nane katika wilaya ya Kaliua Tabora.

Majambazi haya yamefanya uporaji baada ya walima tumbaku kupokea pesa zao jana na jana hiyo iyo majambazi yakavamia seemu ambapo watu huwa wana weka pesa zao sehemu .

Hii ni Usinge wilaya ya Kaliua wamechukua na kuondoka na pesa kama zao wananchi walianza kukimbia hovyo baada ya majambazi hayo kupiga risasi hewani.
 
Nguvu ya wakulima zimetoweka kama mchezo,inabidi kuangalia upya upokeaji na utunzaji wa pesa.polen sana.
 
Majambazi walikuwa na silaa wamevamia M-pesa na kutoka na kitita kisicho pungua milion nane katika wilaya ya Kaliua Tabora.

Majambazi haya yamefanya uporaji baada ya walima tumbaku kupokea pesa zao jana na jana hiyo iyo majambazi yakavamia seemu ambapo watu huwa wana weka pesa zao sehemu .

Hii ni Usinge wilaya ya Kaliua wamechukua na kuondoka na pesa kama zao wananchi walianza kukimbia hovyo baada ya majambazi hayo kupiga risasi hewani.

Wananchi hawatakiwi kulinda mali na hak zao. Wakifanya hivyo wanavunja sheria. Kazi ya ulinzi ni ya jeshi la polisi tu na hawaruhusiwi kuingilia. Hivo wakaage tu wakisubiri polisi wawalilnde. By "Mangu, 2015".
 
nahisi wewe ni mrundi/mnyarwanda
 
poleni sana wakulima wenzangu.Lakini raisi wetu alisha sema kwenye campain zake majambazi wauwawe mkiwapata mkawaue
 
Back
Top Bottom