Majambazi yavamia Maxx Bureau de Change na kukomba hela

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,949
4,444
Majambazi yamevamia Bureau ya Maxx mitaa ya Samora nakukomba pesa zote.
Majambazi hayo yalifika eneo ya tukio na Noah na kuwapulizia dawa wateja, wafanyakazi na walinzi kisha kuanza kukusanya pesa kwenye mifuko yalipo maaliza yameondoka taratiiiibu na Noah yao yameshika ile barabara kwenye jengo la TTCL.
Yalikuwa takribani 7 na mitutu ya bunduki hayajaua ila yametuachia maumivu ya dawa yaliyo puliza.
 
bora hawajaua-kama wana CCTV zitawasaidia kuwapata hao jamaa kama walkuwa wameacha face zao nje
 
Where were the flatfoots. I know the street is one of the busiest in town and one might wonder how the coppers couldn't interrupt and react accordingly. Again there is something wrong with our security forces.
 
Where were the flatfoots. I know the street is one of the busiests in town and one might wonder how the coppers couldn't interrupt and react accordingly. Again there is something wrong with our security forces.

mkuu leo vipi naonaunawacha magamba tangu asubuhi!
 
Cha kushangaza polisi wamefika badala ya kuwakimbiza wao wamebaki tu pale wanahoji wananchi imekuwaje majaa yamezidi kusonga mbele
 
Poleni mlionusurika hii ndo nchi yetu mtaa uliyoko busy kama ule unaibiwa polis wanashindwa kuzibit.sijui huku uswahilini kwetu inakuwaje.
 
Kila kukicha majambazi yanavamia na kupora, KIKWETE AMKA WATU WANASHIDA WEWE UNAKULA BATA,ACHA KUZALISHA MAJAMBAZI WAKIKOSA PA KUVAMIA WATAJA KUKUTOA UHAI WAKO.
 
Mpwa pole kwa zahma.......... vipi ulikuwa umeenda kuchenji dolari unataka kukimbia Manzese au?
 
Dah, asavali jamaa wamegawana umaskini na hao wahndi wala vyetu. angalau watajirusha bar za uswazi hyo hela ibaki injini.
 
Poleni sana wahanga nimestuka sana kwa sababu nipo mtaa huuhuu wa samora na imenibidi ni koki mashine gani yangu tayari kwa mapambano!
Ngoja nisogee eneo la tukio kwanza!!
 
Upataji wa taarifa sahii umekuwa mgumu kwakuwa naona wahindi wote wanawasikiliza polisi sie tulievaa pensi hatusikilizwi
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom