Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,949
- 4,444
Majambazi yamevamia Bureau ya Maxx mitaa ya Samora nakukomba pesa zote.
Majambazi hayo yalifika eneo ya tukio na Noah na kuwapulizia dawa wateja, wafanyakazi na walinzi kisha kuanza kukusanya pesa kwenye mifuko yalipo maaliza yameondoka taratiiiibu na Noah yao yameshika ile barabara kwenye jengo la TTCL.
Yalikuwa takribani 7 na mitutu ya bunduki hayajaua ila yametuachia maumivu ya dawa yaliyo puliza.