Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,906
- 22,017
Kana kwamba wamechoka kuona rais akipigiwa vingora
sasa watanzania kadhaa wakiwa na pikipiki wamepora
mabox zaidi ya sita kutoka kwa wahabeshi kwa kumwaga
bastola angani kadhaa...habari zaidi mpaka sasa akuna alieumia
ila wahindi kadhaa wanalia kwenye magari yao na habari zinasema
ndani ya box zile kulikuwa na fedha kadhaa zimetoka nje ya nchi
ambazo zilikuwa zikingojewa airport na kundi la wahabeshi
kwa habari zaidi tutawapa kinachoenedelea kama kawaida polisi wameitwa
mpaka sasa hata traffic wenyewe wamekimbilia geti la jirani pale karibu
na nssf kujihifadhi