Majambazi yapora pesa za waabeshi TAZARA!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
47,382
17,386
Kana kwamba wamechoka kuona rais akipigiwa vingora
sasa watanzania kadhaa wakiwa na pikipiki wamepora
mabox zaidi ya sita kutoka kwa wahabeshi kwa kumwaga
bastola angani kadhaa...habari zaidi mpaka sasa akuna alieumia
ila wahindi kadhaa wanalia kwenye magari yao na habari zinasema
ndani ya box zile kulikuwa na fedha kadhaa zimetoka nje ya nchi
ambazo zilikuwa zikingojewa airport na kundi la wahabeshi

kwa habari zaidi tutawapa kinachoenedelea kama kawaida polisi wameitwa
mpaka sasa hata traffic wenyewe wamekimbilia geti la jirani pale karibu
na nssf kujihifadhi
 
SnowBall

JF-Expert Member
Sep 13, 2011
3,054
2,837

Tatizo mkuu unaleta nyuzi kwa kuungaunga ..hujasema hiyo kitu imetokea wapi..sanasana naona umesema geti la NSSF..sasa hilo geti la wapi???
 
ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,772
6,530
kwa hiyo huo mshiko ulikuwa wa ishu gani na una milikiwa na kina nani..
 
Memo

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
2,157
759
oyaaaa! Amesema tazara, na pale tazara kuna ofisi za nsff.
Uwe unasoma bana!
Tatizo mkuu unaleta nyuzi kwa kuungaunga ..hujasema hiyo kitu imetokea wapi..sanasana naona umesema geti la NSSF..sasa hilo geti la wapi???
 
Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
47,382
17,386
tatizo mkuu unaleta nyuzi kwa kuungaunga ..hujasema hiyo kitu imetokea wapi..sanasana naona umesema geti la nssf..sasa hilo geti la wapi???

mkuu ujasoma kiswahili ..angalia kichwa cha habari tazar.... Au nimalizie tazara mpwa
 
ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,974
1,640
inaonekana ndio style yako. nadhani mwl wako alipata shida sana darasani na hichi kichwa chako. kosa lile lile kila siku! mweeeeeeee!
 
Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
47,382
17,386
inaonekana ndio style yako. nadhani mwl wako alipata shida sana darasani na hichi kichwa chako. kosa lile lile kila siku! mweeeeeeee!

mkuu akupata shida maana alifanikiwa kusahahihisha akanipa ABC sasa nahisi wewe ulizoea ku DESA
KILA KITU UNTAKA KUTAFUNIWA MPWA UMIZA KICWA BANA SI UMEONA JAMAA AMEKUSAIDIA KWA JUU HAPO
 
Memo

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
2,157
759
Achana nae huyu! Labda wahabeshi walioibiwa ni mashemeji zake!!
Ngoja tutasikia kova akisema tunaendelea na uchunguzzi......watu wanakula bata mtaani.
Juzi ilikuwa zamu ya mwanza, leo dar. Wazee wa kazi wanapiga tu....polisi wapo busy na wauza biscuits.
mkuu akupata shida maana alifanikiwa kusahahihisha akanipa ABC sasa nahisi wewe ulizoea ku DESA
KILA KITU UNTAKA KUTAFUNIWA MPWA UMIZA KICWA BANA SI UMEONA JAMAA AMEKUSAIDIA KWA JUU HAPO
 
Mangimeli

JF-Expert Member
Sep 15, 2011
1,152
285
Nliiskia clouds mda flani,sa jamani mlitaka polisi wafanyeje wao wakati tukio lishatokea, awo waabeshi kwa nini awkuomba ulinzi wa polisi na walikua wanajua wanaenda kuchukua ela, wakae na ujinga wao
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom