Majambazi yapora Majimatitu, Mbagala

Wamajanga

Senior Member
Jun 24, 2014
133
47
Ni kama nusu saa iliyopita majambazi yamevamia duka la bidhaa hapa stendi ya Majimatitu mita 5 tu karibu na kituo kidogo cha Polisi cha Majimatitu na hii ni mara ya tatu kuvamiwa kwa duka hili.

Mpaka sasa sijapata idadi ya waliojeruhiwa wala ya waliofariki.

Chanzo: macho yangu
 
Ni kama nusu iliyopita majambazi yavamia duka la bidhaa hapa stendi ya majimatitu mita 5 tu karibu na kituo kidogo cha polisi cha majimatitu na hii ni mara ya tatu kuvamiwa kwa duka hili.
Mpaka sasa sijapata idadi ya waliojeruhiwa wala ya waliofariki.
chanzo: macho yangu

Muwe Mnatoa Taarifa Zinazoeleweka Kwani Siyo Wote Ni Watanzania Humu au Tupo Huko Kwenu Tanzania Sawa? Huko Majimatitu Ndiyo Wapi? Na Kama Hujapata Taarifa Kuwa Kuna Waliojeruhiwa au Kufa Basi Siyo Tena BREAKING NEWS Hiyo Na Siku Nyingine Usitumie Vibaya Hilo NENO TISHA au NENO SHTUA.
 
Acha ujinga wewe naona sisiem imekuharibu kama upo huko porini kaa huko huko coz utakuja kujaza nafasi tuu hapa sembe marufuku kusafirisha mwaka huu lazima ule nyasi
 
Nina Allergy Ya KUJIBIZANA Na MASHOGA. Katoe Kwanza Hilo SHOMBO Kali Ya HAJA Ulilonalo Kisha Urudi Tuliendeleze Sawa Wewe POPOMA? Leo Nakesha Humu Mpaka Monie!
 
Huna adabu jiandae nakuja kukukata shanga blalifuu
 
Muwe Mnatoa Taarifa Zinazoeleweka Kwani Siyo Wote Ni Watanzania Humu au Tupo Huko Kwenu Tanzania Sawa? Huko Majimatitu Ndiyo Wapi? Na Kama Hujapata Taarifa Kuwa Kuna Waliojeruhiwa au Kufa Basi Siyo Tena BREAKING NEWS Hiyo Na Siku Nyingine Usitumie Vibaya Hilo NENO TISHA au NENO SHTUA.

Lakini kichwa cha habari kasema ni Majimatitu-Mbagala. Kwa akili ya kawaida, itakua ni Dar es Salaam
 
Huko Mbagala Ndiyo Wapi Tena Mkuu? Wengine Tumeshazoea Miji Ya Washington, London, Paris, Moscow, Jerusalem, Kigali, Kinshasa, Mara Na Mtwara Ambayo Tunacheza Nayo Kila Siku Na Tumezaliwa Na Kukulia Huko. Huko Mbagala Ndiyo Wapi?
 
Ni kama nusu saa iliyopita majambazi yamevamia duka la bidhaa hapa stendi ya Majimatitu mita 5 tu karibu na kituo kidogo cha Polisi cha Majimatitu na hii ni mara ya tatu kuvamiwa kwa duka hili.

Mpaka sasa sijapata idadi ya waliojeruhiwa wala ya waliofariki.

Chanzo: macho yangu

Ni kwenye hilo duka la yasin?
si kuna kituo cha polisi karibu!
 
Hapo maji matitu kwa mda huo kumechangamka sana, hao jamaa watakuwa walikuwa wanajiamini kwa kuwa na silaha za moto.
 
Huko Mbagala Ndiyo Wapi Tena Mkuu? Wengine Tumeshazoea Miji Ya Washington, London, Paris, Moscow, Jerusalem, Kigali, Kinshasa, Mara Na Mtwara Ambayo Tunacheza Nayo Kila Siku Na Tumezaliwa Na Kukulia Huko. Huko Mbagala Ndiyo Wapi?

Unayoyaandika ni kipimo tosha cha wewe ni mtu wa aina gani.
 
Back
Top Bottom