Majambazi yanafanya ujambazi benki mida hii

unajua maana ya neno FEEDBACK?

...Kwa mujibu wa UFAHAMU wangu wa Darasa la NANE nililoishia, FeedBack ina maana ya Taarifa/Matokeo ya Jambo nililotenda ama kuzungumza kutoka kwa watu/jamii.

MwanaJF mwenzetu ameweka uzi hapa kuhusu tukio la wizi linaloendelea mahali. Baada ya muda kupita mimi nimemtaka atupe FeedBack kuhusu Uzi alioweka hapa kwa maana ya kama kuna cha ziada alichosikia kinaendelea kuhusu tukio ambalo ametuandikia hapa.

Kwa sababu kila siku tunajifunza na siku hizi kuna Academies na International Schools na kadhalika, zinazotumia Mitaala ya Nchi za Nje hebu mkuu nawe nipe maana unayojua ya hilo neno nijifunze:
 
954714150.png

Inamaana hawa jamaa kwetu ni tatizo sana. wachekiwe hao majambazi utakuta ndio haohao
 
Hapa inabidi kuunda tume ya haraka baada ya hawa jamaa kumaliza kuiba. Sasa hivi hakuna ushahidi hadi mwezi mmoja.
 
Clouds FM wametangaza kuna ujambazi unaendelea sasa hivi kwenye benki ya NBC iliyopo jengo la Jamana. Mwenye mawasiliano na askari tafadhali toa msaada wa haraka sana.

Ngoja John Tendwa apewe taarifa, atawafuta hao majambazi sasa hivi!
 
...Kwa mujibu wa UFAHAMU wangu wa Darasa la NANE nililoishia, FeedBack ina maana ya Taarifa/Matokeo ya Jambo nililotenda ama kuzungumza kutoka kwa watu/jamii.

MwanaJF mwenzetu ameweka uzi hapa kuhusu tukio la wizi linaloendelea mahali. Baada ya muda kupita mimi nimemtaka atupe FeedBack kuhusu Uzi alioweka hapa kwa maana ya kama kuna cha ziada alichosikia kinaendelea kuhusu tukio ambalo ametuandikia hapa.

Kwa sababu kila siku tunajifunza na siku hizi kuna Academies na International Schools na kadhalika, zinazotumia Mitaala ya Nchi za Nje hebu mkuu nawe nipe maana unayojua ya hilo neno nijifunze:

Haujui kabisa maana ya ''feedback'' wewe! Hicho ulichoeleza wala hakina uhusiano na hilo neno ''feedback.'' Kama hujui maana halisi ya neno ni bora na busara kutolitumia kabisa kwenye maongezi au maandishi yako. Watu wengine bwana.
 
kumbukumbu zangu zinaniambia jamana house kuna benki ya cba, sikumbuki kama kuna benki ya nbc.
Benki ya nbc iko karibia na tazara next to willy enterprises.
dah,poleni,ila polis wako iringa kuongeza nguvu kupambana na wananchi wanaoenda kwenye m4c
 
Haujui kabisa maana ya ''feedback'' wewe! Hicho ulichoeleza wala hakina uhusiano na hilo neno ''feedback.'' Kama hujui maana halisi ya neno ni bora na busara kutolitumia kabisa kwenye maongezi au maandishi yako. Watu wengine bwana.

....Umesoma mstari wa mwisho wa Jibu langu? Kila siku tunaenda tukijifunza. Mimi nilikuwa naelewa maana ya hilo neno ni hiyo nilyoandika hapo. Nawe eleza maana Unayofahamu wewe badala ya kutoka tu mapovu na kudandia treni kwa mbele. Utakuwa sio tu umenisaidia mimi bali pia VibuyuWazi wenzangu waliokuwa wanafikiri kama nilivyokuwa nikifikiri...

Me I think ni ma Drink Thinkers

''Me I think'' and other similarly constructed sentences are highly non-standard and greatly betoken poor English knowledge of the speaker or writer. ''I'' is the first-person singular subjective pronoun while ''me'' is the first-person singular objective pronoun. In their right usage, the former is placed always before the main verb, and the latter after the main verb.
 
you're very right na Clouds hawajadisclose jina la Bank

Actually mleta Uzi ndio kakosea Gerald wa clouds amesema ni Bank ya CBA pale Jamana Hse.
ni kweli wajasiliamali wamechukua Kama mil.300 hivi bila kuua
 
Actually mleta Uzi ndio kakosea Gerald wa clouds amesema ni Bank ya CBA pale Jamana Hse.
ni kweli wajasiliamali wamechukua Kama mil.300 hivi bila kuua
Asante mkuu Clarity kwa kutuweka clear kama jina lako. kiuhalisia sisi tulioko mbali na tunaipenda nchi yetu tulitaka kuona comment kama hii ya kwako na sio kufundishana lugha maana kwenye purukushani kama za ujambazi si rahisi mtu kuongea 'lugha' aliyoizoea
 
Back
Top Bottom