majambazi yamuua askari na kutoweka na SMG

KAUDO

Senior Member
Aug 10, 2011
138
67
aliyeuwawa ni PC Dickson namba G2626 ambaye pamoja na wenzake wanne walikuwa wakilinda mgodi wa dhahabu wa Tulawaka wilayani Biharamulo.
Chanzo RPC-Kagera-habari zaidi baadaye
 
hiyo ni mojawapo ya ajira kwa vijana kAbaka na nape wanaotetea hakuna bomu la ajira!
 
Back
Top Bottom