Majambazi Yampiga Shoka Mlinzi Huko Tabata Jijini Dar es Salaam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majambazi Yampiga Shoka Mlinzi Huko Tabata Jijini Dar es Salaam

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Nov 9, 2011.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Nov 9, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,608
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  [​IMG]
  Wadau picha hizi zinatisha lakini mtuwie radhi kwani ndiyo hali halisi iliyotokea usiku wa kuamkia leo huko Tabata na hakuna mtu anayeweza kuvumilia maovu haya yanaofanywa na watu wasiokuwa na utu. Leo saa 12 asubuhi hospitali ya taifa Muhimbili imempokea mgonjwa anayeitwa Mussa Shabani(42) akiwa na shoka iliyonasa kichwani
  (kama picha inavyooneka hapo juu ).


  Bwana Mussa ni mlinzi katika nyumba ya Joseph Mwakyusa huko Tabata. Majambazi yalipofika nyumbani kwa bawanaMwakyusa yalimjeruhi kwa shoka bwana mussa na, wakati majambazi yaliyovamia nyumba ya Mwakyusa yakiendelea kufungua spea za gari aina ya Toyota verosa. kwa bahati nzuri bwana Mwakyusa alishtukana ndipomajambazi hayo yalipokimbia na kutoweka yakimuacha mussa katika hali mbaya na shoka ikiwa imenasa kichwani.


  Madaktari wa taasisi ya tiba ya mifupa MOI walifanya kazi ya ziada kuitoa shoka hiyo na sasa Mussa yupo chumba cha wagonjwa
  mahututi. bwana.


  Jumaa Almasi afisa uhusiano mkuu wa MOI amethibitisha tukio hilo na kusema ''Ni kweli bwana Mussa amepokelewa hapa MOI akiwa na shoka iliyonasia kichwani mwake lakini madaktari wamemfanyia upasuaji na kuitoa na sasa hivi yupo chumba cha wagonjwa mahututi''

  CHANZO: News - Global Publishers


   
 2. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #2
  Nov 9, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Binadamu tuna roho mbaya sana ndio maana kuna jamaa yangu alisema majambazi sio watu wa kuwaonea huruma hata kidogo sasa naelewa kwani alikuwa anasema hivyo
   
 3. Tausi.

  Tausi. Senior Member

  #3
  Nov 9, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Innalilah Wainnalillah Rajiiun.
   
 4. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #4
  Nov 9, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,817
  Likes Received: 10,107
  Trophy Points: 280
  Mungu atampigania apone, kwa MUNGU yote yanawezekana...
   
 5. MGAWARIZIKI

  MGAWARIZIKI JF-Expert Member

  #5
  Nov 9, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 306
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hii ndio inawafanya raia wanapokamata jambazi kuchukua sheria mkononi kwa kuua wakipelekwa polisi wanatoka kwa kuhonga pesa nashauri jeshi la polisi liwasake mpaka kuwapata afu pia adhabu ya kifo iendelee ili kukomesha unyama kama huu, namuombea kwa mungu apone haraka, AMINA
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Nov 9, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hizi zitakuwa ni sababu za kisiasa! Jamani Magamba mtatumaliza. Pole sana nakutakia uponyaji wa haraka
   
 7. s

  shosti JF-Expert Member

  #7
  Nov 9, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  inauma jamani...unamuua mtu unaiba spea za gari
   
 8. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #8
  Nov 9, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  hao si majambazi, ni vibaka ambao wanakuwa powered na bhange na madawa ya kulevya. majambazi professional wako smart sana, hawawezi kushambulia na tshoka!
   
 9. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #9
  Nov 9, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  De man aint dead yet, wha cuda ya pon say dat?
   
 10. s

  shosti JF-Expert Member

  #10
  Nov 9, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  jamaa amefariki nadhani ijumaa ya wiki iliyopita
   
 11. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #11
  Nov 9, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Dah!

  Masikini baba wa familia ameumizwa namna hii? naiwazia familia na wale wanaomtegemea mwanadamu huyu! Eee Mungu umpe uzima kiumbe wako!
   
 12. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #12
  Nov 9, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hii inadhihirisha wimbi kubwa la watu wasiokuwa na ajira na kuamua kujiingiza kwenye unyama kama huu Jk zile ajira ulizo ahidi ziko wapi? Mungu amtangulie huyu mlinzi apate kupona
   
 13. ALLEX

  ALLEX JF-Expert Member

  #13
  Nov 9, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 2,046
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  duh huu ni ufedhuli wa hali ya juu ,,
   
 14. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #14
  Nov 9, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  ndo maana huwa nawashangaa sana wanaowaonea huruma majambazi/vibaka wakiuwawa
   
 15. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #15
  Nov 9, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Yule Mlinzi Aliyepigwa Shoka na Majambazi Huko Tabata Jijini Dar es Salaam Afariki Dunia  Written by haki | // 0 comments

  [​IMG]
  [​IMG]
  Habari zilizoletwa na mdau wa blog hii hivi punde zinasema Bw Mussa mlinzi(pichani) ambaye alipigwa shoka kichwani nyumbani kwa Bw Joseph Mwakyusa huko Tabata jijini Dar es salaaam na Majambazi amefariki dunia asubuhi ya leo hospitali ya taifa ya muhimbili Jijini Dar es salaam.Blog hii ya hakingowi iliripoti hapo awali habari za juu ya tukio hilo unaweza kusoma tukio zima kwa kubofya Hapa

  Maskini Mungu amrehemu

   
 16. s

  sawabho JF-Expert Member

  #16
  Nov 9, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Kwa mtindo huu, wananchi wenye hasira wataendelea kuchukua sheria mkononi pale mmoja wa hao atakapoingia mikononi mwao.
   
 17. N

  Ndoano Senior Member

  #17
  Nov 9, 2011
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 187
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema na waliofanya unyama huo walaaniwe.mungu atasimamia damu ya mtu haimwagiki bure.
   
 18. u

  utantambua JF-Expert Member

  #18
  Nov 9, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Sina huruma na jambazi kabisa kwa sababu wao hawana huruma na uhai wetu raia
   
 19. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #19
  Nov 10, 2011
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,992
  Likes Received: 990
  Trophy Points: 280
  Kama ni mimi ndio nimepigwa shoka hivyo (God forbid) better off dead
   
Loading...