Majambazi yafanyiza temeke... yadaiwa kuua daktari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majambazi yafanyiza temeke... yadaiwa kuua daktari

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kaitaba, Nov 1, 2011.

 1. Kaitaba

  Kaitaba JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2011
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 928
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ni siku chache tangu majambazi yalipofunga mtaa wa kingugi kata ya mbagala wilaya ya Temeke, leo hii asubuhi majambazi kwa mala nyingine wilayani temeke wamemuuwa kwa risasi Daktari wa hosp ya wilaya ya Temeke,

  Najiuliza kamanda Misime kulikoni temeke?
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,235
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180
  Usarama temeke??/??
  Angalia hiyo heading!

  Otherwise hayo ni matukio ya kutisha sana!...pole familiza waathirika.
   
 3. Majoja

  Majoja JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 610
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  reo haturari
   
 4. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,149
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hiri ni baraa
  OTIS.
   
 5. the grate

  the grate JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  God blec tz
   
 6. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,808
  Likes Received: 566
  Trophy Points: 280
  kama dora kira siku inapanda na iyo hera ya madafu aipatikani na uonevu wa maporisi unazidi na hakuna wa kusaidia kutoka serikari unategemea nini?

  mimi nachikia kweri ujambazi rakini kwa hari irivyo porisi wanayo kazi.
   
 7. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,808
  Likes Received: 566
  Trophy Points: 280
  the country is cursed and sold.

  kalagabaho na amani yako ya vilemba
   
 8. Kaitaba

  Kaitaba JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2011
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 928
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Sasa tufanyeje? ulinzi shirikishi inasaidia?
   
 9. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,808
  Likes Received: 566
  Trophy Points: 280
  labda, lakini nao wanatembeaga na marungu tu sijui hata kama wanalinda kweli na kila mwezi nalipa 6000 bila kupewa risiti kisa ulinzi shiriki
   
 10. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #10
  Nov 1, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,160
  Likes Received: 1,021
  Trophy Points: 280
  Urinzi shirikishi wakati mnatutandika marisasi nabkutuita wananchi panya?,fanyeni kazi yenu aroo
   
 11. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  And God bless Lema
   
 12. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,523
  Likes Received: 2,442
  Trophy Points: 280
  Poleni sana familia za marehemu.
   
 13. i411

  i411 JF-Expert Member

  #13
  Nov 2, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 794
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Afande mwema hakikisha vinjana wako kakuna kurara mpaka wapatikane hawa waharifu sasa waua dakitari wanini au dakitari alikuwa anawajua? vinginenyo hizi mutu zatakiwa zifanyiwe kile gadafi alifanjiwa "kakijiti"
   
 14. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #14
  Nov 2, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,411
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Usitumie hiyo ndugu yangu ningekupm lakini bahati mbaya watu washatumia
  lugha ya kejeli bila kujali uzito wa ulichowasilisha, hiyo inaandikwa MARA.
   
 15. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #15
  Nov 2, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,251
  Likes Received: 15,040
  Trophy Points: 280
  tusirarage mirango open
   
 16. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #16
  Nov 2, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,909
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  hii ndio bongo,daktari anamtibu jambazi ambaye baadae anakuja kumkaba!
   
Loading...