johnmashilatu
JF-Expert Member
- Sep 16, 2010
- 819
- 867
Majambazi wavamia Bulale wakiwa na bunduki muda huu na kupora katika maduka 2 ya M pesa. Bulale ni kata ya Buhongwa Iijini Mwanza.
Kweli mmevamiwa mkuu!naona makosa kibao ktk andiko lako!nadhani upo chini ya meza!poleni kwa mkasa!Majambazi wavamia bulale wakiwa na bunduki muda huu na kupora ktk maduka 2 ya mpe sa bulale kata ya buhongwa jijino Mza muda huu
Mngewaambia polisi kuwa UKAWA wanaandamana eneo hilo wangefika fasta
Punguza mihemuko ya kisiasa vijana wenzangu,hapa tunajadili swala nyetiPolisi wapo dodoma. nyie komaeni kivyenu
Narudia tena, polisi wapo dodoma!! Ebo!!Punguza mihemuko ya kisiasa vijana wenzangu,hapa tunajadili swala nyeti
Teh teh! unagombana kivuli chako?Narudia tena, polisi wapo dodoma!! Ebo!!
Kuna unyeti gani hapo!! huko mara mwanamke aliyapokonya majambazi SMG!!! Tena bila msaada wa polisi,
Mwanamke mwingine aliyagonga majambazi kwa gari lake baada ya kuporwa, NA NYINYI KUWENI WABUNIFU.
Kweli mmevamiwa mkuu!naona makosa kibao ktk andiko lako!nadhani upo chini ya meza!poleni kwa mkasa!
Ukawa hawana Bunduki..hap majambazi yana bunduki huoni tofauti yoyote hapo?!Mngewaambia polisi kuwa UKAWA wanaandamana eneo hilo wangefika fasta