Majambazi Wawili na Mchina Kupewa Kesi Ya Dr. Ulimboka...Ahmed Msangi Kusafishwa

Magwanda mmefulia kudakia hoja za watu!

Uli, vipi hajambo?
anarudi lini?
akirudi ataendeleza migomo?

Mkiwasiliana nae mpeni pole sana, mwambieni ndio ukubwa na umaarufu huo, huwa unapatikana kwa njia nyingi, moja ni kama hiyo.

Hivi Ulimboka alikuwa ni chadema?

Atandeaye haki pekee ndiye atakayesimama. Mshahara wa dhambi ni Mauti. Mauti ya mtu mbaya ni mbaya zaidi ya anayeonewa.
 
CCM MAMA kiboko..may be deeper and more reliable than any one in here.
Wenzio hata zile cap zenu za kijani na njano wanavaa wakisha fika kwenye mikutano yenu, wakitoka tu wanazivua, hawana tena ujasiri wa kutembea nazo mitaani. we kalaga bao.
 
Kaazi kweli kweli ,ukweli haufichiki utajulikana tu siku moja.
 
Sasa ukiwa unatusanua kwa haya matukio si ndio watahairisha kufanya hivyo?kumbuka ile mbinu ambayo walikuwa waitumie ililetwa na mdau mmoja kabla ya wao kuitumia then wakaibadilisha kidogo. Na hii uliyoileta wataibadilisha pia manake wako huku jf pia. Ila tumeshawastukia .
Kutoa taarifa in advance ni vizuri ili kukwamisha mbinu zao chafu wanazotaka kuzifanya baada ya kuona mbinu zime leak, wakikomaa itakuwa kila mtu ameshajua hiyo mbinu ilivyopangwa na uwongo utaonekana kirahisi.
Lazima wabanwe kila kona washindwe la kufanya na mwishowe ukweli utajidhihirisha tu!
 
Hata wajisafishe kwa jiki hili wanalo.
Uongo unamipaka yake.

alafu wamegundua kuita watu wa press .
Hivi kova ndiye msemaji mkuu wa jeshi la polisi?
 
Habari za kuaminika toka ndani ya polisi zinasema kwamba, kuna majambazi wawili na mgeni mmoja anayesadikiwa kuwa raia wa China, tayari wameshachukuliwa kutoka katika gereza moja mkoa jirani kwa ajili ya kuwabambikizia kesi ya utekaji nyara Dr. Ulimboka. Pamoja na hao raia wa Tanzania, yupo pia mchina mmoja ambaye inasemekana ni jambazi pia kuhusishwa. KOVA atatoa taarifa akisema kwamba kuna jambazi wawili bado wanasakwa na inasadikiwa wamevuka mpaka wa tanzania kwenda zambia Haya yote yakiendelea, uongozi wa juu Ikulu imekuwa ikipewa taarifa kila baada ya muda mfupi

Wote watakiri kufanya kazi ya utekaji wakiwa na Mkenya feki. Gari la Szuki Eskudo jeusi lililokuwa Central police nalo limehamishwa kwa na kupelekwa kwenye pori kibaha ili ionekane kwamba hao majambazi wanamaficho kibaha. Wazalendo ngoma ndio inaanza. Mpango mzima unasukwa wiki mbili sasa kwa lengo la kulisafisha serikali na jambazi SUGU Ahmed Msangi. Kuna mbinu nyingine mbili ambazo zinaratibiwa na TISS. Mtu wetu wa ndani atatuletea habari kamili ikikamilika. Kha hii nchi imeoza
Asante sana mkuu , ni kweli yalikuja kutimia ambapo Mkenya Mwehu alikuja kuhusishwa na utekaji ule
 
Kutoa taarifa in advance ni vizuri ili kukwamisha mbinu zao chafu wanazotaka kuzifanya baada ya kuona mbinu zime leak, wakikomaa itakuwa kila mtu ameshajua hiyo mbinu ilivyopangwa na uwongo utaonekana kirahisi.
Lazima wabanwe kila kona washindwe la kufanya na mwishowe ukweli utajidhihirisha tu!
Ila jamaa huyu naye asije kuwa daktari kamwambia sasa unaweza kuondoka, naye anatafuta mbinu ya kubaki EU! Naona kama maisha ya EU yanampa raha. Hata kunyoa nywele ni kama wale wacheza ndombolo ya solo!
 
Fafanua kidogo mkuu
 
Habari za kuaminika toka ndani ya polisi zinasema kwamba, kuna majambazi wawili na mgeni mmoja anayesadikiwa kuwa raia wa China, tayari wameshachukuliwa kutoka katika gereza moja mkoa jirani kwa ajili ya kuwabambikizia kesi ya utekaji nyara Dr. Ulimboka. Pamoja na hao raia wa Tanzania, yupo pia mchina mmoja ambaye inasemekana ni jambazi pia kuhusishwa. KOVA atatoa taarifa akisema kwamba kuna jambazi wawili bado wanasakwa na inasadikiwa wamevuka mpaka wa tanzania kwenda zambia Haya yote yakiendelea, uongozi wa juu Ikulu imekuwa ikipewa taarifa kila baada ya muda mfupi

Wote watakiri kufanya kazi ya utekaji wakiwa na Mkenya feki. Gari la Szuki Eskudo jeusi lililokuwa Central police nalo limehamishwa kwa na kupelekwa kwenye pori kibaha ili ionekane kwamba hao majambazi wanamaficho kibaha. Wazalendo ngoma ndio inaanza. Mpango mzima unasukwa wiki mbili sasa kwa lengo la kulisafisha serikali na jambazi SUGU Ahmed Msangi. Kuna mbinu nyingine mbili ambazo zinaratibiwa na TISS. Mtu wetu wa ndani atatuletea habari kamili ikikamilika. Kha hii nchi imeoza
Muke ya Muzungu karibu tena jf mkuu
 
Back
Top Bottom