Majambazi Wawili na Mchina Kupewa Kesi Ya Dr. Ulimboka...Ahmed Msangi Kusafishwa

Kila cd ninayo nunua ina scratch sijui nifanyenini mimi kova!
 
Kova anawanyima watu kuzungumzia issue ya Ulimboka nje ya mahakama!!!!Anaasema taarifa alizotowa awali ni za uhakika!!!
Kazi ipo
 
Hii ni jipya loooo aise Damu ya Dr. Ulimboka itawatafuna tuu mpaka watachanganyikiwa. Wa Tanzania Tanganyika hawadaganyikui tunajua na huyo KOVA ajui anafanya nini. Na bado, Mungu atawenekana tu. Waende kanisa kusema ongo lakini wanabalilia mkaa kichwani kwao. YESU SHUSHA MOTO
 
Mungu Shusha Moto there is nothing which will go unturned. God is in control. Dhamu ya Ulimboka itawaahulikia tuu. Ahmed Msangi afanye yote lakini Mungu atampiga tuu.
 
ACHANA NA ZOBA AKILI YAKE ANAIJUA MWENYEWEQUOTE=zomba;4250629]Nyie wote mnanufaika na system lakini kila mmoja wetu na system yake.[/QUOTE]
 
ningewasifu sana kama wangechukua baadhi ya polisi wakawabambika kesi hii. hivi kwa akili yakawaida, unamchukua mkenya au mchina kumbambika kesi hii, unafikiri mkenya au mchina wana interest gani na mgomo? wameathirika kivipi na mgomo? au walikuwa na interest gani na ulimboka? ni vigumu kuwadanganya wananchi kwa kubambika kesi kwa wananchi, polisi au usalama ndio wanatakiwa wabambikwe hapo ndo itatulia, sa sivyo hata kitu kikibambikwa watu hawataamini milele...vichekesho vingine, mbona hawajui kuunda mambo nao...
 
Back
Top Bottom