Majambazi Wawili na Mchina Kupewa Kesi Ya Dr. Ulimboka...Ahmed Msangi Kusafishwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majambazi Wawili na Mchina Kupewa Kesi Ya Dr. Ulimboka...Ahmed Msangi Kusafishwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Muke Ya Muzungu, Jul 16, 2012.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Habari za kuaminika toka ndani ya polisi zinasema kwamba, kuna majambazi wawili na mgeni mmoja anayesadikiwa kuwa raia wa China, tayari wameshachukuliwa kutoka katika gereza moja mkoa jirani kwa ajili ya kuwabambikizia kesi ya utekaji nyara Dr. Ulimboka. Pamoja na hao raia wa Tanzania, yupo pia mchina mmoja ambaye inasemekana ni jambazi pia kuhusishwa. KOVA atatoa taarifa akisema kwamba kuna jambazi wawili bado wanasakwa na inasadikiwa wamevuka mpaka wa tanzania kwenda zambia Haya yote yakiendelea, uongozi wa juu Ikulu imekuwa ikipewa taarifa kila baada ya muda mfupi

  Wote watakiri kufanya kazi ya utekaji wakiwa na Mkenya feki. Gari la Szuki Eskudo jeusi lililokuwa Central police nalo limehamishwa kwa na kupelekwa kwenye pori kibaha ili ionekane kwamba hao majambazi wanamaficho kibaha. Wazalendo ngoma ndio inaanza. Mpango mzima unasukwa wiki mbili sasa kwa lengo la kulisafisha serikali na jambazi SUGU Ahmed Msangi. Kuna mbinu nyingine mbili ambazo zinaratibiwa na TISS. Mtu wetu wa ndani atatuletea habari kamili ikikamilika. Kha hii nchi imeoza
   
 2. t

  tara Senior Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 190
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kaka tunashukuru kwa taarifa.....
   
 3. client3

  client3 JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: Aug 6, 2007
  Messages: 742
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  na sie wadanganyika tutadanganyika?????
   
 4. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Huna jipya!
   
 5. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  leta wewe jipya
   
 6. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Sasa ukiwa unatusanua kwa haya matukio si ndio watahairisha kufanya hivyo?kumbuka ile mbinu ambayo walikuwa waitumie ililetwa na mdau mmoja kabla ya wao kuitumia then wakaibadilisha kidogo. Na hii uliyoileta wataibadilisha pia manake wako huku jf pia. Ila tumeshawastukia .
   
 7. ha ha ha

  ha ha ha JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 641
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Teh teh teh,bonggo movie! Kama kweli basi zetu wanyonge ni sala za kutosha ili mgonjwa tz apone haraka.
   
 8. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #8
  Jul 16, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Watatudanganya machoni lakini mioyoni tunaujua ukweli
   
 9. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #9
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  ndo wewe zoba unanufaika na system.MWAKA HUU HAMUNA PA KUTOKEA NYIE MAGAMBA
   
 10. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #10
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo ule mpango uliosemwa humu na yule member de'levis ni huo ndo wanataka kuufanya.....ile thread sijui iko wapi!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Mangimeli

  Mangimeli JF-Expert Member

  #11
  Jul 16, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  huna jipya kabisa , tuondolee bla bla apa.
   
 12. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #12
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Waelezwe kwamba hii mbinu ime expire!!!
   
 13. m

  mwimbule JF-Expert Member

  #13
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 485
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Tunashukuru kwa taarifa
   
 14. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #14
  Jul 16, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
 15. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #15
  Jul 16, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  Wanalo mwaka huu cd imegoma kusuguliwa
   
 16. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #16
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Nchi inanuka! Mwenya ramani ya mars plzzzzzzzzzzzzzzz!
   
 17. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #17
  Jul 16, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0

  hawaelewi nini kinaendela mwaka huu. kwa kifupi idara ya usalama na vitengo vyake vile vya polisi na jeshi vimeasi. Tatizo lao hizi ishu mpaka waziweke kwenye makaratasi ndiyo maana kuliki ni rahisi mno.
   
 18. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #18
  Jul 16, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  wewe ndo una jipya ehe?!
   
 19. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #19
  Jul 16, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  ningeomba directors wa hollywood waje bongo watutengenezee hii movie yaani kinachoendelea sasa hivi wakitengeneza movie itauza sana hollywood
   
 20. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #20
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  hii movie hadi iishe tutaona mengi
   
Loading...