Majambazi wauawa tunduma mbeya

MPOYOLA MT

New Member
Dec 16, 2013
3
0
Majambazi wawili wauawa na wananchi wenye hasira kali na mmoja kujeruhiwa vibaya ikiwa amekatwa mkono na kubakia na mkono mmoja (majina yao hayakupatia mara moja) baada ya kubainika kwamba walikua wakijaribu kuiba katika soko kuu lililoko maeneo manzese katika ya mji mdogo wa tunduma hadi mda wa saa nne asubuhi miili ya majambazi hao ilikua imehifadhiwa mochwari katika hospitali iliyoko mjini hapo na mmoja wao alionekana akiendelea kulia kwa uchungu huku akigagaa nje ya eneo la hospitali ya mji huo ambayo iko karibu na soko hilo la manzese na hakuna msaada wowote uliotolewa kwa majeruhi huyo
 
Watanzania hawana imani kabisa na vyombo vya sheria,na wala govt haijiulizi kwa nini.
 
Usiogope kuwataja. Au ni kwa vile kadi zao za chama ni za kijani??? Ni za kile chama cha Ma.bi. na tuuuu hakuna kingine. Hawa walikuwa wanatekeleza sera za chama chao kwa vitendo. Lazima tutawashughulikia hao wananchi waliokiuka sheria
 
Back
Top Bottom