Majambazi watembeza risasi wamepora pesa

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,894
Jamani inakuwaje Tanzania yangu wakati huu wa kuelekea kwenye Uchaguzi? Majambazi wamevamia hapa Shekilago dukani kwa jamaa na kupora pesa na watu 2 wamejaruhiwa na watu wote tuko ndani tumeogopa kutoka nje . IKisha tulia nitaenda kuwaleta taarifa zaidi . Hali Dar inatisha risasi nje nje .

Mwenye nyeti zaidi tafadhali atumwagie mie nimezima taa naogopa wasiona nachungulie nje . Hali inatisha
 
JF Senior Expert Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png
Join Date: Tue Dec 2006
Location: Malampaka
Posts: 4,703
Thanks: 1
Thanked 201 Times in 109 Posts

Pole mkuu Lunyungu Tatizo Malampaka napo watu wengi hawana ajira. Kweli malampaka panatisha kama ndiyo style hiyo. Ukitoka tuhabarishe basi je CCTV za Polisi zimewatambua ni kina nani waliofanya uhalifu huo?
 
Mkuu usilete utani hali ni ngumu majambazi wamemwaga sana risasi na nia yangu ni kujua nani kapona na wamepora kiasi gani . Haya ya Malampaka yaache tafadhali leo niko Dar .
 
Pole sana mkuu. tuombe Mungu maafa yasiwepo.
polisi mmewapigia simu lakini??
 
Funny!!!! CCTV za polisi zinamwona Jerry Muro pekee, hahahaa!!, so funny :confused:! Hata siamini, kila kukicha majambazi yanatamba kama yanavyotaka na hakuna anayekamatwa, na wala hatukuwahi kusikia kama kuna kitu kinaitwa CCTV ambazo zinarekodi matukio kama hayo, lakini Jerry akikaa kwenye meza kwa mazungumzo CCTV zinafanya kazi. inji hii bwana! kaazi kwelikweli!!!
Pole sana Lunyungu, tuhabarishe zaidi.
 
Pole sana mkuu. tuombe Mungu maafa yasiwepo.
polisi mmewapigia simu lakini??
Wako wanashughulikia swala la J.Muro,hawawezi kuacha kituo wazi kwani kuna wale jamaa waliokuwa kwenye sakata la Muro wako ndani.Lakini asubuhi wataitisha press conference kuelezea hayo yaliyotokea Shekilango.
 
Mkuu usilete utani hali ni ngumu majambazi wamemwaga sana risasi na nia yangu ni kujua nani kapona na wamepora kiasi gani . Haya ya Malampaka yaache tafadhali leo niko Dar .

Wewe umesema umezima taa imekuwaje uandike hii message? Lunyungu kwa kamba bwana huwezekani. Poleni sana. Ndio Tanzania hiyo ngoja ifike July mosi watakapoingia manyang'au wa EAC mtakiona cha mtema kuni kilichomtoa kanga manyoya.
 
Jamani inakuwaje Tanzania yangu wakati huu wa kuelekea kwenye Uchaguzi? Majambazi wamevamia hapa Shekilago dukani kwa jamaa na kupora pesa na watu 2 wamejaruhiwa na watu wote tuko ndani tumeogopa kutoka nje . IKisha tulia nitaenda kuwaleta taarifa zaidi . Hali Dar inatisha risasi nje nje .

Mwenye nyeti zaidi tafadhali atumwagie mie nimezima taa naogopa wasiona nachungulie nje . Hali inatisha

Mzee huna mawasilano ya jamaa wa CCTV? hapa

SACP SULEIMANI KOVA 0754034224

DSM SPECIAL ZONE
SACP SULEIMANI KOVA
OFISI : 2117705
KAWAIDA : 2132269
NYUMBANI : 2601281

ZONAL CRIME OFFICER
OFISI : 2118336
MKONONI : ZONAL SIGNAL OFFICER
OFISI : 2115282
MKONONI : ZONAL TRAFFIC OFFICER
OFISI :
MKONONI : STAFF OFFICER DSM ZONE
OFISI : 2115496
MKONONI : RPC KINONDONI
OFISI : 022-2668807 022-2668807 MKONONI : 0713-496770 0713-496770
RPC ILALA ACP.FAUSTINE SHILOGILE
OFISI : 022-2117362 022-2117362
MKONONI : 0754-273978 0754-273978

RPC KINONDONI
OFISI : 022-2668807 022-2668807 MKONONI : 0713-496770
 
Ujambazi huchochewa sana na (a) umaskini wa watu kutokuwa na kazi, (b) tofauti kubwa za viwango vya maisha miongoni mwa raia.

Kukosekana kwa tabaka la kati (middle class) baina ya matajiri wakubwa na mafukara wakubwa katika jamii huchochea baadhi ya raia kufanya ujambazi ili waweze kupata kipato cha kuwawezesha kuishi kwa kiwango cha matajri wa jamii.
 
Nalo nenoooo....
 
bongo kweli ni shida tupu...wezi nao wanachukua advantage ya ubize wa polisi mmmh
 
Sawa P,

Lakini huu ujambazi una uhusiano na uchaguzi? Natamani ningeweza kuona takwimu za ujambazi kadri uchanguzi unavyokaribia?
 
Back
Top Bottom