Majambazi wapora mtu Jamuhuri/Mosque Street- Risasi zarindima

JoJiPoJi

JF-Expert Member
Aug 8, 2009
2,906
3,249
Dakika kama tano zilizopita kuna tukio la kijambazi limetokea ambapo majambazi wamempiga risasi na kupora mtu pesa ambazo hazikujulikana. Ni hatari na eneo limezizima kwa muda sasa, huduma zote zimesimama kwa muda...
 
Jamaa alikuwa na mzigo wa maana alikuwa anatoka ROM duka la vifaa vya baiskeli amapeleka mkwanja benki, ndipo Majambazi wakamkumba
 
Chrismas imefika wale jamaa zetu hawawezi kwenda kwao mikono mitupu,kamanda kova tunaomba ulinzi maeneo ya temboni,goba miezi hii balaa
 
Jaman tanzania misikiti iko mingi sana na maeneo yanayoitwa jamhuri yako mikoa kibao sasa wewe unapotuambia msikiti wa jamhuri tukueleweje!? Tuambie imetokea mkoa gani kama ni dodoma, morogoro, dar etc.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom