majambazi wapora mamilioni na madini katikati ya jiji arusha

Arusha Leo

Senior Member
Mar 12, 2012
122
72
Majambazi wawili wakiyimia pikipiki wakiwa na silaha za moto wamewapiga risasi wafanyabiashara wawili wa madini ya Tanzanite arusha na kupora takribani milion 5 na madini ya milioni 90 saa 9 alasiri leo.
 
Poleni matajiri wa Arusha. Mimi nahisi wafanyabiashara wa Arusha huwa hawachukui tahadhari zozote za kiusalama wao, si shangai kusikia kwamba wanabeba hizo hela au madini kwenye mabegi na kutembea nayo barabarani kama madaftari!!
 
Arusha si salama kabisa,kila kona bastola zimesambaa kama midoli kwa watoto! Poleni sana waathiriwa wa tukio hilo
 
Mnakera bwana na habari zenu za uongo kila siku aaaagh. Wamechukua mfuko wenye ml 6 tu hawajachukua madini. Na wala sio majambazi wa 2 ni wa 5 na walikua na pikipiki 3. Wamemuua mtu m moja na kujeruhi mmoja
 
Arusha si salama tena,
Mbabe kisiasa hajulikani
Mbabe kiutawala hakuna
Mbabe kiulinzi hakuna
Mbabe kifedha hakuna ni Mabilionea wasiolipa kodi ndio wametapakaa
hii sio Geneva ya Tanzania
ila ni Venice (Italy) ya Tanzania
 
tatizo polisi wa hapa wana njaa yan sijawahi ona,yan maisha yao yote wanategemea rushwa za wananchi, kwa hiyo wakitumiwa hapa kwa ajili ya kuwalinda hao mabilionea wanawageuzia kibao tena kwa kula dili na majambazi, polisi arachuga ni noma, matukio mengi sana hapa ni ya ujambazi na nyumba chache sana hapa zinakosa grill kama siyo mageti, last week kulitokea ujambazi maeneo ya ngarenaro vijana wawili walikuwa na pikiki walipiga risasi hewani na kuvunja kioo cha gari na kupora watu wawili waliokuwa ndani ya gari hiyo mamilioni ya pesa na kutokomea,Maisha ya watu hapa kwa kweli yapo hatarini kutokana na majambazi kumiliki silaha za moto
 
Arusha si salama tena,
Mbabe kisiasa hajulikani
Mbabe kiutawala hakuna
Mbabe kiulinzi hakuna
Mbabe kifedha hakuna ni Mabilionea wasiolipa kodi ndio wametapakaa
hii sio Geneva ya Tanzania
ila ni Venice (Italy) ya Tanzania

Decent people shouldn't live here(Gotham city). They'd be happier someplace else!
 
Poleni matajiri wa Arusha. Mimi nahisi wafanyabiashara wa Arusha huwa hawachukui tahadhari zozote za kiusalama wao, si shangai kusikia kwamba wanabeba hizo hela au madini kwenye mabegi na kutembea nayo barabarani kama madaftari!!

Kauli hii " si shangai kusikia kwamba wanabeba hizo hela au madini kwenye mabegi na kutembea nayo barabarani kama madaftari!!"" Mie imenigusa sana sasa itabidi iwafikie matajiri walijue hili maana yake madaftari ni nani atakayeokota eti???
 
Dah. Haya matumiz ya silaha za moto zinazote sababisha mauaji na uhalifu wa kupora mali za watu ni mpaka lini mjini Arusha. RPC mkoa May you Please work on it. We Do apppreciate you all
 
silaha na toyo vidhibitiwe,matukio yote yanayotokea sasa hivi viwili vinahusika,sijivunii tena kuwa mwana arusha or kuishi arusha kama mambo yenyewe ndio ya kuishi kama digidigi
 
Arusha sasa hivi Toyo sio zinafanya biashara ya usafiri bali zinafanya kazi ya ujambazi be careful!
 
Arusha si salama tena,
Mbabe kisiasa hajulikani
Mbabe kiutawala hakuna
Mbabe kiulinzi hakuna
Mbabe kifedha hakuna ni Mabilionea wasiolipa kodi ndio wametapakaa
hii sio Geneva ya Tanzania
ila ni Venice (Italy) ya Tanzania

Bora tu,kwani hao wa dar wanalipa kodi?
..kwanza zikilipwa zinaishia mifukoni mwa watu
 
Bora tu,kwani hao wa dar wanalipa kodi?
..kwanza zikilipwa zinaishia mifukoni mwa watu

Bora ziporwe ili mjiite mabilionea
ni Wavivu wa kupindukia
Mnashinda Bar kukata viroba na Gongo
Hakuna tofauti ya Wanawake na wanaume ni kusifiana tu fulani ana Chapaaa
Lipeni Kodi, hamuwezi shindana hata na Mwanza
Huo mji sasa ni sawa na Venice Jiji la uhalifu na matapeli Duniani
sasa itafuata Arusha
 
Back
Top Bottom