Majambazi Waliovamia Ikoma Bush Camp na Kupora na Kuua Wakamatwa

Hamjui umuhimu wa utalii wote mnaobeza juhudi za polisi. Hata kama fedha za utalii zinaliwa kwa sasa, haitasaidia kushabikia mauaji ya watalii (kwa kubeza juhudi za polisi) kisa wabongo wakiuawa huwa polisi huwa hawapigi kazi hivi. Polisi wazidishe nguvu kukomesha hali hii ili kunusuru utalii. Hayo mambo mengine ni upande mwingine wa shilingi, ingawa ni muhimu kusemewa, hayatakiwi kuathiri negatively juhudi za polisi pale watalii wanapofanyiwa madudu. Ni chanzo cha mapato leo na kesho(ambayo JK hatakuwepo), ukikiua sasa hivi hiyo kesho itakuwa chungu zaidi, hata kama wapo waadilifu zaidi.
 
Back
Top Bottom