Majambazi wajeruhi na kupora Ngara

Kwa hilo Tanzania tukijifunza Rwanda sio mbaya. Mfano Kigali mjini ni vigumu sana kufanya uhalifu na kukimbia zaidi ya meter 50 kabla hujakamatwa ukiwa hai au maiti. Wao jukumu la kulinda usalama ndani ya nchi linafanywa ni vikosi vyote vya ulinzi na usalama, (Army, Police and Local defence). Tatizo letu tumewaachia Police pekeake ambao ni wachache, hawana uwezo na vifaa vya kutosha kwa ajili ya kuzuia uhalifu. Bahati mbaya sana nguvu kubwa imeelekezwa katika kupambana na wanasiasa.
Mkuu point yako ya mwisho ndio kiini cha tatizo ata mwigulu nchemba hivi karibuni alishawahi kutoa kauli kama hiyo na kushauri polisi wasitumie nguvu nyingi katika kupambana na mambo yasiokuwa na umuhimu watumie nguvu nyingi kupambana na majambazi hapo wananchi watawaelewa. Ukweli lazima usemwe ili kurekebisha palipo na madhaifu turekebishe na kusonga mbele. Uchelewi kuitwa mchochezi wa kuvuruga amani kama utakosoa pale panapowagusa wale miungu watu.
 
c8603ca47a1c7463ac584dc3434f8c95.jpg
 
Kwa hilo Tanzania tukijifunza Rwanda sio mbaya. Mfano Kigali mjini ni vigumu sana kufanya uhalifu na kukimbia zaidi ya meter 50 kabla hujakamatwa ukiwa hai au maiti. Wao jukumu la kulinda usalama ndani ya nchi linafanywa ni vikosi vyote vya ulinzi na usalama, (Army, Police and Local defence). Tatizo letu tumewaachia Police pekeake ambao ni wachache, hawana uwezo na vifaa vya kutosha kwa ajili ya kuzuia uhalifu. Bahati mbaya sana nguvu kubwa imeelekezwa katika kupambana na wanasiasa.
Watu wazima wakiwa wanazungumza mjifunze kuwa mnaelewa maana katika upana wake. Nashukuru leo umekiri Tz kuna kitu inaweza kujifunza toka Rwanda. Hii ni nchi ndogo lakini mnapokuwa mnaiponda eti haiwezi kuosaida kwasababu tu ni "ka" nchi kadogo basi mnakosea sana. Naamini si hili tu na wala si lile la juzi tu, kama nchi tunayo mengi sana ya kubadilishana na wenzetu Rwanda katika tasnia mbali mbali.
 
Kundi la Majambazi wasiofahamika idadi yao jana usiku waliteka kijiji cha benako kata ya kabanga jirani na mpaka wa burundi wilayani ngara mkoani kagera na kuzidi nguvu vikosi vya ulinzi na usalama kutokana na idadi yao kuwa kubwa na silaha nzito za moto zinavyodhaniwa ni za kivita.

Source: ni ITV.

My take: jeshi la polisi linahitaji mabadiliko makubwa sana kutoka kuwa jeshi la kikoloni na kuwa jeahi imara linalotoa huduma kwa watanzania na mali zao. Sio jeshi la kusifika kwenye kudhibiti maandamano ya kisiasa. Na huu pia ni mtego na mthihani mzito kwa Mwigulu nchemba ndio ticket yake ya kuanguka kisiasa kama atakuwa dhaifu kama alivyopwaya kwenye wizara ya kilimo.

UVCCM wao wako wanakula sahani moja na wapenda amani na watetea democrasia!. Hao ndio saizi yao!
 
Yaan bado we need to go far, DC angefanya nini apo sasa kama kijiji cjote kimetekwa.
Tusaidiane kushangaa maana hata maagizo waliyopewa wale wa shinyanga na Geita ni kuwa akiuwawa albino basi DC ndie atajibu kwa nini mauaji yametokea, haya mambo ya kijani sijui kama yana tija kwa wakati huu.
 
Polisi wetu wamekuwa bize kupambana na upinzani kuliko majambazi ngara huko matukio ya ujambazi hayaishi?
 
Benaco huko si ndio kuna kambi kubwa ya wakimbizi(sina uhakika kama bado ipo)
Polisi inabidi kwa mmaeneo ya mipakani wajipange zaidi na wawe na immediate back up plan.
Ikiwezekana kiwepo Kikosi maalum cha jeshi la Wananchi standby kusaidia ulinzi wa raia na mali zao incase polisi wanazidiwa. Hayo maeneo yote yako karibu na nchi zenye machafuko siamini hao majambazi watakuwa wa kitoto.
Kuwanyang'anya silaha haraka inaweza kuwagharimu polisi wetu. Hapo iandaliwe organized ambush watafutwe pori kwa pori ili wajue huko tumeshatoka.

Tunataka kusikia hao wamenyang'anywa silaha ili heshima irudi mipakani
 
Kwanza benaco sio mpaka ni mwa tz na Burundi ila karibu na mpaka na Rwanda...Pili Benaco sio kata ya kabanga ila rusumo...kuhusu ilo LA kuteka kijiji ni sawa kabisa haya mambo yanatokea sana uko ni vile uwa hayapewi air time kwenye vyombo vya habari
Haya mambo tujiandae kuendelea kuyasikia maana haya mambo yanafanywa na wanyarwanda na kama mnavyojua ndo hivo washapata mtetezi nchini...tujiandae kusikia vita za wakulima na wafugaji maana lazima wanyarwanda warudishe ng'ombe wao tena kwenye mashamba yetu..
Sio eneo ninalozumgumzia mkuu. Nimesema benako ni kijiji kipo ndani ya kata ya kabanga, wilaya ya ngara jirani kabisa na mpaka wa burundi. Icho kijiji kina kituo kikubwa cha polisi, kizuizi cha barabarani na ofisi za uhamiaji. Pia na barabara kuu ya kwenda burundi.
 
hatari sana....ila tutawapata tu ama wawe ndani ya tizedi au wawe nchi jirani tutawafuata hukohuko ole wao walete fyokofyoko
 
Tusaidiane kushangaa maana hata maagizo waliyopewa wale wa shinyanga na Geita ni kuwa akiuwawa albino basi DC ndie atajibu kwa nini mauaji yametokea, haya mambo ya kijani sijui kama yana tija kwa wakati huu.
Tatizo mkuu mazingira kwa hawa watumishi wa vyombo vyetu vya usalama bado hayajaimarishwa sio rafiki, na ndio maana kitwanga hata muhsin alipokuja kujibu swali la kuwajengea nyumba askari polisi wetu alisema watajenga kwa kadiri uchumi utakapoimarika.
 
Tanzania bana Askari wanakaa Tu badala ya kuwaweka wakae Doria maeneo hatari Rwanda tembea hata saa 8 ucku Doria IPO ya Kutosha
Siyo hadi saa 8 usiku ni 24hrs na kila ukitembea na gari huko kila baada ya mitaa kadhaa unakutana na polisi wanakupiga ukagusi wa kutosha! Hapa bongo hadi uwapigie sim mara wakuambie kituoni hamna gari zote zipo doria mara hamna polisi wa kutosha
 
Back
Top Bottom