Majambazi Kanisani

jrmlaurence

Member
Dec 2, 2010
80
57
Majambazi walivamia kanisan, wakaanza kufunga milango na madirisha.
Wakawaambia waumini kwamba watauwa kila mtu ila kwa kufuatana na herufi ya jina lako.
Wakaanza na mchungaji unaitwa nani:
Mchungaji : naitwa zoseph zteve
Majambaz: bahati yako na wewe mpiga kinanda
Mpiga Kinanda: Naitwa zmenauel zwilliams lakini mmoja wa wanakwaya anaitwa Anna Adam.
Mwanakwaya akadakia muongo huyo wala siitwi hivyo naitwa zzzanaa zaadam.

Daah cjui wew ungejiita jina gani hapo
 
hahahaha,,,,, ningeitwa zzzzzzarchitect zzzzzzzzze.m
 
Back
Top Bottom