Majaliwa: TRA marufuku kuwatoza kodi za majengo wazee zaidi ya miaka 60.

comrade igwe

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
7,317
2,000
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Majaliwa Kassim Majaliwa ameagiza Mamlaka ya mapato nchini TRA kutowatoza kodi za majengo wazee wenye miaka 60 na kuendelea, Waziri MKuu ameongea hayo wilayani Chato wakati akizindua jengo la mamlaka ya mapato wilaya ya Chato Mkoani Geita
 

124 Ali

JF-Expert Member
Apr 25, 2010
7,517
2,000
Mh huyo waziri anayo habari kuwa wastaafu ndio wenye nyumba kwa asilimia zaidi ya 80?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom