Majaliwa: Serikali imeokoa zaidi ya Bilioni 53.9 Vita dhidi ya Rushwa, asema Rushwa bado ni Janga

Evans-Arsenal

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
868
1,385
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanikiwa kuokoa kiasi cha shilingi bilioni 53.9 kutokana na uchunguzi na operesheni mbalimbali zilizochukuliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) katika mwaka 2016/2017. Taarifa hiyo imetolewa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati akifungua semina ya Mtandao wa Wabunge wa Afrika walio katika Mapambano ya Rushwa (APNAC) tawi la Tanzania kwenye ukumbi wa African Dream mjini Dodoma.
 
Hatua nzuri sana hii...Wanastahili pongezi na mapambano YAENDELEEE
 
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanikiwa kuokoa kiasi cha shilingi bilioni 53.9 kutokana na uchunguzi na operesheni mbalimbali zilizochukuliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) katika mwaka 2016/2017. Taarifa hiyo imetolewa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati akifungua semina ya Mtandao wa Wabunge wa Afrika walio katika Mapambano ya Rushwa (APNAC) tawi la Tanzania kwenye ukumbi wa African Dream mjini Dodoma.
Hizi walizopewa madiwani wa Arusha ana taarifa nazo?
 
..wameokoa bil 53.9.

..Konoike wanatudai bil 113.

..kwa hiyo tuna deficit ya bil 59.1.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom