Majaliwa: Kumejitokeza tabia ya Watu kutumia vibaya Uhuru wa kutoa Mawazo kwenye Mitandao

Yeye inamuuma nini watu kuwa huru kutoa maoni?

Hivi kuna kiongozi amewahi kutukanwa kama Kikwete? Mbona hakuwahi kuhangaika na wanaotoa maoni yao?
Kikwete mwanajeshi.

Anajiamini Kama soldier.

Hawa wengine unakuta mtu ananuka mdomo, ukimuambia akapige mswaki anasema umemkosea heshma. Mwizi apewe heshma gani
 
59F3EECD-E01D-4AD9-997F-F0805D8BB148.jpeg

Akiahirisha Shughuli za Bunge, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewaagiza Waziri wa Katiba, Waziri wa Mambo ya Ndani, Nje, Waziri wa Utumishi, Waziri wa Mawasiliano kutumia Sheria, kanuni na taratibu kuhakikisha vitendo vya matumizi mabaya ya mitandao vinadhibitiwa..
 
Back
Top Bottom