Majaliwa Anafanya Mikutano ya Siasa Ruangwa

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,797
71,214
Waziri mkuu anafanya ziara huko Lindi ajiwa kaambatana na viongozi wa ccm na kufanya mikutano ya hadhara.
Ule waraka wa polisi yeye haumuhusu? Kama ni kazi za kiserekali hao viongozi wa ccm wanakuwepo wa nini?
Chanzo; Channel 10.
My take;
Mbona Bavicha wanalaani hilo na watu tunawadhihaki? Wakichukua hatua yenye madhara tutawalaumu kweli?
 
Mafufuli majaliwa udikteta wao hauna macho wa ovyo sana yaani nani atawheshimu kama wao wananchokataza ndicho wanachofanya
 
Poor tanzania. Wakuu wa nch wana kauli za danganya toto kwa kifupi naita KAULI LAINI
 
Waziri mkuu anafanya ziara huko Lindi ajiwa kaambatana na viongozi wa ccm na kufanya mikutano ya hadhara.
Ule waraka wa polisi yeye haumuhusu? Kama ni kazi za kiserekali hao viongozi wa ccm wanakuwepo wa nini?
Chanzo; Channel 10.
My take;
Mbona Bavicha wanalaani hilo na watu tunawadhihaki? Wakichukua hatua yenye madhara tutawalaumu kweli?

Nasisi Chandema tusiwe wapuuzi wa kufikilia. Tuliambiwa tofanye mikutano ya hadhara kwemnye majibo yetu ya ushindi. Ndo maana majal;iwa karudi jimboni kwake kutekeleza aliyoahidi kama mbunge. Hivyohivyo hata Sugu,mbowe na wengineo
 
Ni aibu kukuta viongozi wakuu wanasema hivi na kufanya vile bila soni. Wataaminikaje tena? Hata hayo majina ya udikteta wanayatengeneza wenyewe
 
Nasisi Chandema tusiwe wapuuzi wa kufikilia. Tuliambiwa tofanye mikutano ya hadhara kwemnye majibo yetu ya ushindi. Ndo maana majal;iwa karudi jimboni kwake kutekeleza aliyoahidi kama mbunge. Hivyohivyo hata Sugu,mbowe na wengineo
Una uhakika? Umesikia kauli za RC wa Morogoro, Mara nk kuhusu hilo?
 
Tuache kulalamika muda wote. Siku moja tutembeze fimbo kwenye mikutano yao ili heshima ikae sehem yake
 
Nasisi Chandema tusiwe wapuuzi wa kufikilia. Tuliambiwa tofanye mikutano ya hadhara kwemnye majibo yetu ya ushindi. Ndo maana majal;iwa karudi jimboni kwake kutekeleza aliyoahidi kama mbunge. Hivyohivyo hata Sugu,mbowe na wengineo

Acha uongo mkuu wa polisi juzi kasema hawakikataza mikutano ya ndani ila wamekataza mikutano ya nje sasa wewe ni nani mpaka utoe taarifa inayopingana na polisi na maghu
 
Waziri mkuu anafanya ziara huko Lindi ajiwa kaambatana na viongozi wa ccm na kufanya mikutano ya hadhara.
Ule waraka wa polisi yeye haumuhusu? Kama ni kazi za kiserekali hao viongozi wa ccm wanakuwepo wa nini?
Chanzo; Channel 10.
My take;
Mbona Bavicha wanalaani hilo na watu tunawadhihaki? Wakichukua hatua yenye madhara tutawalaumu kweli?

Waambieni basi BAVICHA wachukue hatua yenye madhara tuone
 
Hivi Majaliwa anafanya siasa anafanya kazi za Uwaziri Mkuu? Moja, kafungua dula la MSD, huko nako ni siasa?
 
Back
Top Bottom