Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,673
- 26,990
Anamuonea wivu huyo mama anataman angekuwa yeye
Anamuonea wivu huyo mama anataman angekuwa yeye
Ratiba ya Kampeni imeoanisha wahusika kamili wa Kampeni, yaani chama , mgombea urais na umakamu hao ndo wapo kwenye ratiba. La yeyote wa chama chochote anaweza kushiriki Kampeni kwa kufuatana na msafara wa mgombea husika na so vinginevyo. Ratiba zipo za ubunge na udiwani pia kada yeyote wa chama husika anaweza kushiriki Kampeni kwa mfumo huo.Weka kifungu cha sheria kilichokiukwa!
Usipoweka wewe ndio kiazi
Alafu walivyo hawana akili watakwambia hiyo ni siri kigogo katoa kwahiyo ccm itakoma kwa siri anazotoa kigogo.picha kapost master planner wa chadema bwana kigogo.
na akaipa maneno ambayo alijua manyumbu hawatahoji.
Kwahiyo Zitto anazunguka huku na kule kumnadi nani?Ratiba ya Kampeni imeoanisha wahusika kamili wa Kampeni, yaani chama , mgombea urais na umakamu hao ndo wapo kwenye ratiba. La yeyote wa chama chochote anaweza kushiriki Kampeni kwa kufuatana na msafara wa mgombea husika na so vinginevyo. Ratiba zipo za ubunge na udiwani pia kada yeyote wa chama husika anaweza kushiriki Kampeni kwa mfumo huo.
Anachfanya Majaliwa ni kinyume na kanuni za time.
Duh, haya mambo yanatishaWewe bado kujipigia hapa? Changamka dogo, unakwama wapi?
CCM ni taka..Mjomba kama huyo ataweza kumkemea nani?View attachment 1583738
Hana hata ushawishi wakusikilizwa hata na wanafunzi wa chekechea,labda wawatoe kwa nguvu mashuleni walazimishwe kuhudhulia na siyo kumsikiliza.Unamzungumzia Majaliwa gani ? au Majaliwa Kassim Majaliwa wa CCM ? Vipi anawabamiza ?
Mkuu kanuni za time ndo zinakuaje hizo?unaweza kutuwekea kifungu cha kanuni husika?Ratiba ya Kampeni imeoanisha wahusika kamili wa Kampeni, yaani chama , mgombea urais na umakamu hao ndo wapo kwenye ratiba. La yeyote wa chama chochote anaweza kushiriki Kampeni kwa kufuatana na msafara wa mgombea husika na so vinginevyo. Ratiba zipo za ubunge na udiwani pia kada yeyote wa chama husika anaweza kushiriki Kampeni kwa mfumo huo.
Anachfanya Majaliwa ni kinyume na kanuni za time.
CCM kweli mbumbumbu. Kasimu kosa lake ni kutokuambatana na mgombea huku akiwa na wadhifa wa uwaziri mkuu. Ndiyo maana Pinda halalamikiwi.Majaliwa ni mjumbe wa kamati kuu ya CCM wajumbe wa kamati kuu ya CCM wamesambazwa nchi nzima kufanyia kampeni CCM
Kwani Mbowe alikuwa akizunguka na Lisu kumfanyia kampeni Mbowe alimfanyia kampeni Lisu kama nani wakati yeye ni mgombea ubunge wa Hai ?
Wadhifa wake wa uwaziri mkuu na kitendo chake Cha kuzurura vinmtoa kwenye maadili ya uchaguzi. Kasomeni kwanza ya kuja humu mitandaoni.Unataka isemeje wakati hakuna sheria imekiukwa?
Wapeleke malalamiko kwa barua.Lissu keshasema Waziri majaliwa anavunja taratibu za maadili ya Uchaguzi hivyo Tume wamuite waziri mkuu akajieleze mbele ya kamati ya maadili.
Wanatapatapa tu huku na kule.Pamoja na Cheo chake cha Uwaziri Mkuu, Tabia na kitendo cha Majaliwa kuzunguka Peke yake na kufanya Mikutano ya hadhara ya kuomba KURA ni ukiukwaji wa Taratibu. Anapswa kurudishwa Ruangwa akamtafutie Magufuli Kura kweli.
Msafara wa Majaliwa unatumia Mafuta na Rasilimali za Serikali kwa ajili ya shughuli za kichama. Haya ni matumizi mabaya ya Kodi zetu tunazolipa kwa tabu nyingi. Niseme tu CCM pamoja na Majaliwa acheni kabisa kutumia vibaya kodi zetu na nafasi zenu kuhujumu uchumi wa taifa.
Kama sasa hivi wakaibuka watu wakaanza kumfanyia Rungwe Kampeni kwenye Mikoa AMBAYO hajafika je Tume ya Uchaguzi itawazuia?Kama jibu ni ndio basi nafikir Pia ni Vyema Majaliwa kazuiwa.
Nawasilisha
This is what I see : since presidents who are ineligible to run again would lack any incentive to remain sensitive to constituents’ concerns, thus effectively as a country, Tanzania must return to the previous original constitutional framework that allowed presidents unlimited eligibility to seek reelection.