Uchaguzi 2020 Majaliwa aanza kampeni kabla ya muda, amnadi Magufuli kwao Lwangwa, awaimbisha wananchi "Magufuli 5 tena"

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,635
218,067
Nimemsikia kwa masikio yangu mimi mwenyewe Ndugu Kasimu Majaliwa akimnadi Dr Magufuli kabla ya kupokea simu yake, ambapo ili achaguliwe Mh Magufuli " amewahonga " wananchi wa Lwangwa ujenzi wa barabara hadharani.

Hii si sawa, ikiwa kama kampeni zimeruhusiwa basi ni vema vyama vyote vikapewa uwanja sawa, vinginevyo Mh Waziri Mkuu anapaswa kuomba radhi.
 
Africa na mambo ya democrasia ni ubwabwa kwa mlenda. Huku ni udikteta uliopakwa rangi ya demokrasia.
 
Acha kulia lia wewe,Lissu na.michango ameanza kuchangisha,ulitaka.amnadi mbowe?
Bashiru ana ujumbe wako.
tapatalk_1577999380187.jpg
 
Mpaka kufika mwezi wa 8 katikati, kutakuwa na mwangaza wa nini kinafuata mbele, ila kwa sasa bado ni mapema mno.
 
Nimemsikia kwa masikio yangu mimi mwenyewe Ndugu Kasimu Majaliwa akimnadi Dr Magufuli kabla ya kupokea simu yake , ambapo ili achaguliwe Mh Magufuli " amewahonga " wananchi wa Lwangwa ujenzi wa barabara hadharani .

Hii si sawa , ikiwa kama kampeni zimeruhusiwa basi ni vema vyama vyote vikapewa uwanja sawa , vinginevyo Mh Waziri Mkuu anapaswa kuomba radhi .
Ndio kusema umeanza kuchanganyikiwa wakati hata kura hazijapigwa. Rais aliyepo madarakani anatekeleza ilani ya chama chake alafu unasema amewahonga wananchi wa Luangwa? We ulitaka usikie kwa kutumia nini? Miguu?
 
Nimemsikia kwa masikio yangu mimi mwenyewe Ndugu Kasimu Majaliwa akimnadi Dr Magufuli kabla ya kupokea simu yake , ambapo ili achaguliwe Mh Magufuli " amewahonga " wananchi wa Lwangwa ujenzi wa barabara hadharani .

Hii si sawa , ikiwa kama kampeni zimeruhusiwa basi ni vema vyama vyote vikapewa uwanja sawa , vinginevyo Mh Waziri Mkuu anapaswa kuomba radhi .
Lawlessness in Tanzania, Omnipotent President, PM
 
Haahaa hata ningekuwa Mimi majaliwa ningesema hivo, huwezi kuukata mkono ukulishao, yaani pamoja na mashangazi zake kutishiwa kupigwa bado haambiliki.dah madaraka matamu
 
Back
Top Bottom