Majaji

Kevo

JF-Expert Member
Jun 12, 2008
1,333
54
Wana Jf hawa majaji wanaoapishwa kila leo wa kweli au?Gazeti moja maarufu nchini lilisema jana hawa majaji mbona wengi wanatokea sehemu moja ya nchi?
Eti ndio maana yule padri aliyeshtakiwa kwa kosa la kulawiti alipo appeal alishinda coz Jaji,Prosecutor hata defending Legal Counsel wametoka kijiji kimoja infact wamesoma pamoja na hata wanajuana.
its time to make a regional balance in this very delicate law enforcing organ of the government.
 
Kevo,
Kama ulimsikiliza JK akijibu swali la pressman, alisema,KINACHOPELEKEA PROMOTION SIYO GENDER WALA WHO KNOWS WHO!!! Ila ni elimu na uwezo wa mtu kwenye utendaji.

Sasa angalia usije ukashauri mzee wa baraza ateuliwe kuwa Jaji.
 
Unanifurahisha kweli.Kikwete anakosa sababu?Alijua ankuwa criticised for that ndio maana akaanza kujitetea.
 
Ndiye alieaminiwa na majority ya Watanzania kuingia kwenye mjengo ule kule pembeni ya bahari. Sitaki kuelewa kama ali ingia kihalali ua kifisadi lakini ndiye Mkuu wa kaya. Hivyo asemalo baba ni sahihi, hakosei. Naogopa kumuita mkuu ni muongo kwa vile nimefundishwa kuwatii walilonizidi umri.
 
Sometimes ni muhimu kusema ukweli.
Amezidi.
 
Back
Top Bottom