Mbona torah ya kiarabu inatumia neno Allah katika sehemu ya MwenyeziMungu katika Torah ya Kiswahili?:
"Jehovah Himself studies the Talmud standing, he has such respect for that book."-Tract Mechilla.
torah yako unayoisema ni ile iliyoanzishwa almost 700 years after Christ, while the original was there many years ago, it is a chinese like product-fake. Jehovah is Jehovah. allah is allah.
Usilinganishe vitu viwili tofauti.
And for your information, Waliopewa torah ni waisrael tu walipokuwa wanasafiri kutoka misri kwenda kanaani. Hiyo inayoisema ya kiarabu is an ABSOLUTE FAKE TORAH.
Ask any highly skilled Muslim scholar atakuambiwa. Ucha kusikiliza vijiwe vya manzese vya Yesu si Mungu.