Majaji Waitisha Mgomo Nchi Nzima Misri!

Buchanan

JF-Expert Member
May 19, 2009
13,199
1,969
Ni kwa ajili ya kupinga uamuzi wa Rais Mohammed Mursi kujilimbikizia mamlaka makubwa kwa kupitisha decree inayominya mamlaka ya Mahakama dhidi ya maamuzi yake!
Source: BBC.

My take: Kwa Tanzania Majaji kuungana na Wananchi kuitisha mgomo ni jambo gumu sana hata kama uhuru wao ukiminywa!
 
Tulishafunguliwa macho na kamanda Lisu kuwa majaji waTz wanabebwa kwa misingi ya udini,rushwa tena ya k,ukabila,n.k.hawana sifa wala uwezo.
 
Ni kwa ajili ya kupinga uamuzi wa Rais Mohammed Mursi kujilimbikizia mamlaka makubwa kwa kupitisha decree inayominya mamlaka ya Mahakama dhidi ya maamuzi yake!
Source: BBC.

My take: Kwa Tanzania Majaji kuungana na Wananchi kuitisha mgomo ni jambo gumu sana hata kama uhuru wao ukiminywa!

majaji walalamike nini wakati wan Judges renumeration act imewaweka HURU KIFADHA. wamekubali rushwa kupendelewa na serikali nao waipendelee!!!!!!!!!!!!! majaji, majaji, majaji,majaji.........................................................
 
Kwa hapa kwetu itakuwa ngumu sana kwa majaji kuitisha hiyo migomo kwa sababu hata uteuzi wao ni wa kubebwa na rushwa.
 
Back
Top Bottom