Majaji wa Tanzania hawajui kiingereza - Tundu Lissu

Anaonekana anajua mbele ya wasiojua kwa hiyo wafuasi wake wengi hawajitambui wanashangilia.,Mimi ni form2 failure ila MTU akiongea broken English najua.

Mh Rais mstaafu Mkapa yuko vizuri sana tena Sana.
Km we sio 0 brain reply in English tuone.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama anayemfanyia interview anamuelewa basi hiyo inatosha na kama anasafiri kutoka Belgium-Uingereza-Ujerumani na USA bila mkalimani basi kiingereza chake kinamtosha.

Kwa ufupi umeandika makapi ya mpunga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mulugo hana hadhi ya kujadiliwa JF,huyo jamaa ni janga la kitaifa.
Kweli mkuu, mulugo hakuwa hata na hadhi ya kupata uwaziri. Nini kilitokea had awe waziri? Alishibana sana na jamaa mmoja aliyekuwa rafiki yake na Ridhiwan. Ikawa wakiwa na shida ya pesa, walikwenda kwa mlugo na kujazwa. Mlugo akiwa mmiliki wa shule fulan pale mbeya, alipigiwa debe kwa Jk kupitia Ridhiwan. Lakn alilidhalilika sana kama wazir tena wa elimu unasema the year.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa wanacopy written submission za mawakili na kuzigeuza hukumu. Very simpld. Ni kuangalia ni wakili yupi ameandika vizuri hoja zake, unapachika heading judgement, then jina lako na saini kule chini unaandika tu mtuhumiwa nimemkuta na hatia, convicted bla bla

Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani inakuwaga that much simple. Wanaweza kweli kama written submission imekuwa nzuri waka copy some elements suitable for the judgement, lkn si that muchsimple copy and paste kama ulivyoiweka
 
Back
Top Bottom