Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 6,407
- 8,897
kuna kitu ambacho nimekuwa sikielewi na ninaomba maelezo kuhusu hili hasa kwa watu wanaosomea sheria hivi ni kwa nini majaji wa nchi ya kenya wanavaa kitambaa cheupe cha taulo taulo kichwani (wigi), Je ina maana yeyote ktk mambo ya kisheria, je inahusiana labda na dini au utamaduni wa huko Kenya! nilitaka kuambatanisha picha yao lkn nimeshindwa kuikopi...