Majaji wa BSS wako biased kwa baadhi ya washiriki?

Radical

JF-Expert Member
Jun 3, 2009
374
44
Based on yesterday show (23rd August 2009) kulikuwa na mtindo wa "collabo" yaani ushirikiano wa wawili *2

Lkn mfano, Msechu ambaye nakubali anaimba vizuri, yeye na mwenzake walipomaliza kuimba, one of the judges if not all of them walimpongeza directly, personally that he is a genious when it comes to creativity.

They said he was creative based on type of the song, bt my question is hata kama yeye ndiye alitunga which I doubt kama judges walijua hilo, why wakurupuke kumpongeza jamma, does it mean yule dada hakuchangia chochote?

Huo ni mfano tu lakini najua wan JF mmeona mengine zaidi ya hilo!
 
Wewe bana unataka kutuzingua, kwani ni wapi wamesema wanalazimika kuwa fair?
 
The whole shit is a shit anyway. There is Tusker project fame....

Go for it!

Thanks Mkuu kwa kusema ukweli... BSS imepoteza professionalism na natumaini kwamba Ritha atapata hizi feedback ili abadili kabisa mfumo wa uendeshaji
 
BSS imechoka kwisha kbs, hoi bin hui, uh! mh! majaji wenyewe ni WANAHASIRA SANA waige mfano wa NAIJA SINGS na TUSKER PROJECT FAME wanagombana hovyo, kuna kijana 1 kama sikosei ni Kelvin walimtosa kwenye audition namwona tusker project fame anajitahidi japokuwa hana confidence mpaka wamemweka kwenye probation.
 
Wewe bana unataka kutuzingua, kwani ni wapi wamesema wanalazimika kuwa fair?

Mkuu nini maan ya mashindano? Hayawezi kuwa mashindano kama hakuna fairness!

I just asked for opinions on whether there is or there isn't fairness, and that's where you should base your opinion at.
 
Wewe bana unataka kutuzingua, kwani ni wapi wamesema wanalazimika kuwa fair?

HA! Kumbe hawalazimiki kuwa fair?? Sasa kwanini wanafanya hili zoezi? si Ritha achague anayemtaka wasiendelee kupoteza muda?

Kwa kweli kitendo cha jana cha majaji kumpongeza Msechu peke yake kama vile yule binti hakuwepo pale mbele kilikuwa kibaya sana! Yule binti was about to cry! Ni kama vile wewe upo tu by the way we are here to judge Msechu! It was pathetic. Kwani Kitime kapotelea wapi?

Ikiwa majaji wanakuwa hivi nina mashaka sana hata na waalimu wa hawa vijana huko kambini, pengine nao wangekuwepo hapo kwa ajili ya kutoa miongozo pale majaji wanaposahihisha.

Tatizo jingine ni kwamba hata siku Salama akisema jambo ambalo mshiriki akilifanyia kazi lingemjenga, Ritha hakubali na washiriki wanapata kichwa kwa vile Madam kawakubali.
 
ni ukweli mtupu kwa jana kwa sehemu kubwa majaji walichemsha kwenye maamuzi yao.
 
ni ukweli mtupu kwa jana kwa sehemu kubwa majaji walichemsha kwenye maamuzi yao.

Bora P zamani nilikuwa namwona mkorofi na jani sana ila bora yeye anatumia busara kdgo yule ndy yangu wa moshi-kyachakiche a.k.a master J nae mshamba tu, anajabza sana
 
aah! Ile c ya kubebabana! Wangapi wameendelea kuwa kwenye game mpaka leo tangu wawe mabingwa wa BSS??? Lakini angalia wa Tusker wanavyong'ra............
 
Kuna kitu kingine kama kuna mtu anakiona, Kelvin Mbati jamaa wanamgwaya, mida mingi jamaa wanampa misifa hata akichemka, kwa mfano jana yule mdada waliye imba naye walidai alimwangusha mshikaji ila kwa Msechu lugha ilikuwa kwamba hakumshirikisha yule mdada waliyecorabo, pia wakati Chief Judge anataka kusimama baada ya Banana na Hafsa kuimba alitamka, ninaposimama si kwamba nasimama kwa sababu ya mtu fulani ila kwa yeyote aliyefanya vizuri; what does thuis suppose to mean!
 
Mkuu,
Kumbe na wewe umeliona ili la kumsifia Kelvin Mbati hata kama jamaa kachemsha utasikia "weee ni mkali sana ustahili kushinda nishwa na hawa jamaa hapa we uko level nyingine"
 
Mkuu nini maan ya mashindano? Hayawezi kuwa mashindano kama hakuna fairness!

I just asked for opinions on whether there is or there isn't fairness, and that's where you should base your opinion at.

Inabidi u-overcome kwanza matatizo ya mantiki ili kunielewa, bila hivyo hutonielewa.
 
arrrrrg kitu kipi kinachosimamiwa na mitanzania kina shine bana? BSS is a Bullshit!!!! upupu mtupu.....hebu niambieni washindi wa BSS wako wapi? ni kipimo kuwa shindano ni upupu mtupu......
 
We wait and see; it has been always perfect for Kelvin only you hear "We mkali, sio level za hawa, kama mshindi ni wewe ningependekeza zawadi iongezwe, nikisimama sio kwa ajili ya mtu flani ni kwa yeyote aliyefanya vizuri, nabet hela yote niliyopata toka utoto kwamba huwezi kushinda etc etc" rubbish.
Thanks, jana wametuonyesha kura za wananchi na Kelvin kaachwa kwa zaidi ya kura 980, but lets wait and see, we still have two weeks.
Lakini jamaa wapunguze (Corabo soo, jamaa wanadiscuss mtu mmoja mmoja tu".
 
Inabidi u-overcome kwanza matatizo ya mantiki ili kunielewa, bila hivyo hutonielewa.

Ambaye hamwelewi mwenzie hapa ni nani? kama hujui kwamba hujui ni tatizo kubwa sana, na ndio tatizo la wengi hapa including you(ABDU)
 
Wadau niambieni hiyo Tusker project fame inaonyeshwa na channel gani na muda gani. Nimechoka kuangalia upuuzi wa BSS.
 
ritha aache ujinga wa kupongeza hata makosa,mshindi atafanya kazi sio ya kumtoa yeye ni pamoja na kutangaza nchi,hivi hatuoni aibu kila mshindi wa BSS hafiki kokote,hata majaji nao watoe uamuzi kiutaalam sio kutuuzia sura kideoni.Ila kwa ujumla inaboa kuliko maelezo... they've to do somethin otherwise next year it'll be a blow to'em
 
Back
Top Bottom